Bible School kwa watumishi wa Mungu watarajiwa

Bible School kwa watumishi wa Mungu watarajiwa

MUTUYAMUNGU

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2014
Posts
1,825
Reaction score
4,374
KWA ANAYEHITAJI KUJIUNGA NA VYUO VYA BIBLIA VYA ADA NAFUU KABISA ANICHEKI INBOX/PM.
MASHARTI:
APPLICATION NI BURE
ADA NAFUU KABISA
BOARDING(CHAKULA NA KULALA)
MWAKA WA MASOMO NI JANUARY 2020
DEGREE MIAKA 3, DIPLOMA MIAKA 2
 
APPLICATION ZIMEANZA SASA HIVI HADI OCTOBER
 
KWA ANAYEHITAJI KUJIUNGA NA VYUO VYA BIBLIA VYA ADA NAFUU KABISA ANICHEKI INBOX/PM.
MASHARTI:
APPLICATION NI BURE
ADA NAFUU KABISA
BOARDING(CHAKULA NA KULALA)
MWAKA WA MASOMO NI JANUARY 2020
DEGREE MIAKA 3, DIPLOMA MIAKA 2
Mbona tangazo lenyewe limekaa kiuoga oga nini tatizo mkuu?
Au ndo uoga wa kutekwa?
 
Mbona tangazo lenyewe limekaa kiuoga oga nini tatizo mkuu?
Au ndo uoga wa kutekwa?
Mutu ya Mungu hakiamini anachokitangaza. Inaonekana ye mwenyewe ana mashaka nacho...... Hii itakuwa iko morogoro kihonda kama sio kawe dar
 
HAPANA MKUU NATAFUTA WATU SERIOUS, MAMBO YA MUNGU HAYATAKI MIZAHA.
Na wewe usilete mzaha mambo ya Mungu hufanyika nuruni Sio gizani.Chuo gani hicho kimeficha hata jina gizani,kilipo hapajulikani Ni gizani na kozi kitoazo hazijulikani ziko gizani .Chuo gani Cha Mungu linakuwa gizani na Sio nuruni?
 
Abiria Basi la jamiiorums chungeni mizigo yenu na pesa zenu mifukoni.Customer beware.Nasikia harufu ya mwizi kwenye huu uzi
mzee YEHODAYA mimi sichaji hata mia. huo utapeli uko wapi? KOSA LANGU NI KUSAIDIA WATU?
 
Weka full details mkuu...mwakani nina mpango wa kusomea uchungaji...
KAMPALA SCHOOL OF THEOLOGY.... UKIWA SERIOUS NITAKUTUMIA MAWASILIANO YAO...HAKUNA KULIPA HATA MIA HADI URIPOTI CHUONI. ADA SAWA NA BURE.
 
Taja chuo, course na adda
Chuo cha Biblia ni Roho Mtakatifu,huyo ndiye anayekufundisha kuhubiri yaliyo ya kweli,source soma Matendo 2:1-39 uone siku ambayo Roho Mtakatifu aliwashukia watu wasio hata na Elimu na wakaihubiri Injili ya kweli.Nawasilisha
 
Back
Top Bottom