Bible School kwa watumishi wa Mungu watarajiwa

Bible School kwa watumishi wa Mungu watarajiwa

Safi sana, mshike sana elimu, usimuache aende zake
 
Chuo cha Biblia ni Roho Mtakatifu,huyo ndiye anayekufundisha kuhubiri yaliyo ya kweli,source soma Matendo 2:1-39 uone siku ambayo Roho Mtakatifu aliwashukia watu wasio hata na Elimu na wakaihubiri Injili ya kweli.Nawasilisha
Ni kweli ila na elimu ya darasani inatakiwa
 
Watu wenye mtazamo wa upande mmoja huwa mnasumbua sana makanisani.

Ili kazi iende vizuri zaidi unatakiwa ufahamu umuhimu wa TAALUMA pamoja na KIPAWA.
 
Watu wenye mtazamo wa upande mmoja huwa mnasumbua sana makanisani.

Ili kazi iende vizuri zaidi unatakiwa ufahamu umuhimu wa TAALUMA pamoja na KIPAWA.
Roho wa Mungu hayupo kwenye elimu yako Ndugu yangu amka,tumejengwa juu ya Mitume na Manabii,na kama wao waliipata Injili na ufunuo shuleni,nyie someni,ila kumbuka pia ufunuo Yohana katika Roho siku ya Bwana...nukuu WAEFESO 2:20-22, UFUNUO 1:10
 
Ni kweli ila na elimu ya darasani inatakiwa
Mungu akubariki kwa kusema ni kweli,ila nakukumbusha Mungu hamwiti mtu kutoka shuleni akitaka amfanyie kazi,bali kutoka pasipoeleweka kumbuka Daudi kutoka kuchunga Kondoo,Musa kutoka kuchunga Kondoo,Samsoni kutoka tumboni mwa mamaye,Paulo kutoka muuaji,Petro kutoka mvuvi,Yusufu kutoka muota ndoto kisha mfungwa kisha mkombozi wa Israel kipindi cha njaa...na wengine wengi kama ww ni msomaji wa Biblia unakubaliana na hilo
 
Back
Top Bottom