Bible's verses contradictions

NAKUSAIDIA,,, WENDA UMESOMA BIBLIA IZI ZA LUGHA RAHISI RAHISI AMBAZO ZIMEONDOLEWA BAADHI YA MANENO NAHATA KUONGEZWA MENGINE NAKUONGEZA VITABU VINGINE KWAMAKUSUDI YA KUPINDISHA UKWELI ..

SO BINAFSI SISHANGAI SANA HOJA ZAKO ....

USHAURI ,, TAFUTA BIBLIA TOLEO LA " KING JAMES VISION " ... USIPOTAFUTA ACHA KUZENGUA WATU KUA SIO MFUASI WA ...... ILI HALI UMEISOMA .
 
sielewi kama tatizo lako ni kujua kusoma au ubishi..hebu angalia tena kama unaona hizo mbili zinafanana
1. Genesis chapter 1
God created adam and eve

Genesis chapter 2
God created adam and then eve later
 
Pumba
 
king james version ndio rubbish kabisa,najua hadi lini imetungwa na wakina nani walihusika kuitunga....halafu kuisoma biblia au kuran sio ishu,si vitabu tu vilivyotungwa na watu
 
sielewi kama tatizo lako ni kujua kusoma au ubishi..hebu angalia tena kama unaona hizo mbili zinafanana
1. Genesis chapter 1
God created adam and eve

Genesis chapter 2
God created adam and then eve later
Tatizo lako ueona kuwa ninataka kushindana na wewe kitu ambacho sicho kabisa....

Kijiswali kidogo tu mkuu naona unashidnwa kukielewa hadi sasa na naona kama tunaelekea kuanza kupoteza wakati bila sababu za msingi....

Nitakueleza mara ya mwisho na kama hutanielewa nitaachana na jambo hili....

Nukuu yako hapo juu inaonesha kuwa;
1]Mungu aliwaumba Adam na Hawa
2]Mungu alimuumba Adam kisha hawa baadaye

Ninachotaka ni wewe unioneshe kujikinza kuko wapi hapo,basi..

Ukifanya hivyo nitaelekea kwenye jambo lingine.Sijaona uliponionesha huko kujikinza kwenye nukuu yako hii na badala yake naona unazunguka tu mkuu....

Hiyo nukuu yako inafanana na ile nilipokuambia..

1]Ulitengeneza gari na nyumba
2]Ulitengeneza gari kisha baadaye ukatengeneza nyumba

Unaweza kurtuonesha mtoa kauli hizi anajipinga kwa maana au namna ipi?
 
mkuu contradiction is what came first,..ni muhimu sababu tunaambiwa eva alitoka ubavuni mwa adam,lakini ghafla unaambiwa eva aliumbwa kabla ya adam...mimi naona contradiction
Wapi imeandikwa hivyo
 
king james version ndio rubbish kabisa,najua hadi lini imetungwa na wakina nani walihusika kuitunga....halafu kuisoma biblia au kuran sio ishu,si vitabu tu vilivyotungwa na watu
King James version katunga nani mkuu?
 
nimekuelewa,ilitakiwa created eve and adam...even so sikuwaza sana...almost hakuna contradiction hapo...
nisaidie na hizo nyingine labda utaclear my doubts
 
nimekuelewa,ilitakiwa created eve and adam...even so sikuwaza sana...almost hakuna contradiction hapo...
nisaidie na hizo nyingine labda utaclear my doubts
Okay...

Kwahiyo namba moja siyo contradiction.Unaonaje uka edit hiyo thread yako zikabaki hizo zingine kisha tuendelee kukagua moja baada ya nyingine?

Nakushauri hivyo maana kuendelea kuonesha namba moja ni contradiction wakati ushakubali siyo jambo zuri mkuu....
 
noted..naenda kuipitia tena kwa umakini,nitaitoa for now,nikiiconfirm naweza kurudi ikiwa kwenye better version
 
nimepitia tena na nimerekebisha,namba moja inabaki il nimerekebisha...contradiction ni kwamba chapter 1 mungu aliwaumba adam ana eve pamoja(kwa wakati mmoja..chapter 2 kamuumba adam kwanza halafu eve
 
mfalme james alipotosha maana halisi ya yale maandiko yaliyokuwa ya wayahudi kupitia tafsiri za shakespear
Mkuu

Naomba nikushauri jambo..

Naomba uwe makini na maneno unayotumia hapa maana naona unatumia maneno ambayo hayastahili.hapo juu umeandika "ninajua aliyetunga King James version",hii ina maana kwamba unamaanisha mtunzi wa hiyo version,sasa sijui kama unaelewa maana ya mtunzi.....

Labda rekebisha hapo mkuu.....
 
nimepitia tena na nimerekebisha,namba moja inabaki il nimerekebisha...contradiction ni kwamba chapter 1 mungu aliwaumba adam ana eve pamoja(kwa wakati mmoja..chapter 2 kamuumba adam kwanza halafu eve
Sawa...

Tatizo ni lipi hapo sasa mkuu?

Wewe hapo unaweza kusema kwamba "Ulitengeneza paa la nyumba na samani za ndani" halafu baadaye ukaja kuelezea kwa kina namna ulivyotengeneza paa la nyumba halafu baadaye ukatengeneza samani za nyumba yako...

Kauli yako ya kwanza haimaanishi ulitengeneza vyote kwa wakati mmoja mkuu bali ulitoa "samari' namna ulivyotenda mambo hayo lakini baadaye ukaja kuelezea kwa upana zaidi....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…