ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
japo ni ushauri wa mtume paulo ila kwetu sisi wakristo tunamuona kama ni mtu muhimu nyaraka zake tunazitumia yeye alisema kwamba wanandoa wasinyimane penzi.
Nachokiwaza mimi aliyekuwa anaombwa kuwa na uvumilivu ni mwanaume kwa sababu wanandoa wakizoena na kuishi pamoja mume huanza kumuona mke kama dada yake.
Hata akiwa mzuri sana hawezi kumfanya kila siku..ila kwa upande wa mwanamke jinsi anavyokaa na mume ndo libido juu yake inaongezeka na tena atakuwa anataka wafanye kila siku ila mume eti aishiwe hamu asitamani vya nje. Sasa unakuta mume kachoka anataka apumzike walau kwa week wafanye mara mbili tu.ndo maana nasema kwamba wosia huo wa paulo ulikuwa maalumu kwa wanaume.