Biblia ina makosa? Nachanganyikiwa!

Karibu shekhe tule Nguruwe na pombe
 
Yako 1:14 mtu yeyote tamaa yake ndio humuingiza katika majaribu kama ww unavyowaza kuoa wake 4 huku hata 100 ya kula inakusumbua Biblia sio Quran iliyotungwa kwa kubadili mistali kutoka katka biblia
 
Karatasi za baibo huwa navutia ganja
baibo imeandikwa na wahuni shazi!
 
Niko kitabu cha injili ya yohana 4 mkuu hakuna cha contradiction wala micontradiction mbona...
Yesu aliwafukuza wabadilisha pesa hekaluni mwanzo wa huduma yake au mwisho wa huduma yake?
 
Hahahhhh utajua hujui jibu ni wakati wa pasaka mkuu
Yohana 19:14 - "Nayo ilikuwa Maandalio ya Pasaka, yapata saa sita. Akawaambia Wayahudi, Tazama, Mfalme wenu!"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…