Biblia ina makosa? Nachanganyikiwa!

Wewe endelea kusoma biblia kama BS au kitabu nyambari nyangwine, utapotea brother.
 
Kama inakuchanganya achana nayo fanya mambo mengine ambayo hayakuchanganyi..!!
 
Wakati wa pasaka
Yohana 19:31- "Basi Wayahudi, kwa sababu ni Maandalio, miili isikae juu ya misalaba siku ya sabato, (maana sabato ile ilikuwa siku kubwa), walimwomba Pilato miguu yao ivunjwe, wakaondolewe."
 
Yohana 19:31- "Basi Wayahudi, kwa sababu ni Maandalio, miili isikae juu ya misalaba siku ya sabato, (maana sabato ile ilikuwa siku kubwa), walimwomba Pilato miguu yao ivunjwe, wakaondolewe."
No konturadikisheni..
 
Niko kitabu cha injili ya yohana 4 mkuu hakuna cha contradiction wala micontradiction mbona...
Yesu na wazazi wako walienda Misri au walibaki Israel baada ya kuzaliwa?
Niletee maandiko ya kutoka Injili ya Luka.
 
kama waliondika walivuviwa na Roho Mtakatifu kwanza ndo wakaandika nawe vuviwa kwanza na Roho Mtakatifi ndo uisome...out of that tulia
 
Niko kitabu cha injili ya yohana 4 mkuu hakuna cha contradiction wala micontradiction mbona...
Yesu alizaliwa Herod mkuu akiwa Mtawala wa Israel au Gavana Quirinius ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…