GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,189
- 10,375
Kimepigwa vita na watu binafsi, watawala na Serikali mbalimbali lakini limeshindikana kuifuta.
Kwa miaka mingi sana, kimeendelea kusomwa na kinaendelea kusomwa sehemu mbalimbali duniani.
Kukutwa na Biblia nchini Korea Kaskazini ni ama adhabu ya kifo au adhabu ya mateso.
Nchini Libya, nako Biblia na Uinjilishaji ni marufuku.
Hairuhusiwi nchini China, Malidves, Pakistan, Afghanistan, Algeria, Djibouti, Saudi Arabia, Somalia, Tunisia, Iraq, Iran, Mauritania, Turkmenistan, Uzbekistan, Yemen, n.k.
Morocco wamelegeza kidogo masharti, wanaziruhusu Biblia lakini zilizoandikwa kwa lugha ya Kifaransa, Kihispaniola, na English tu. Zilizoandikwa kwa lugha ya Kiarabu haziruhusiwi kabisa.
Mpaka sasa, inakadiriwa kuwa kuna wasomaji wa Biblia zaidi ya bilioni tano ulimwenguni.
Hata katika nchi zilikopigwa maarufu, bado kuna watu wanaosoma kwa siri.
Ndicho kitabu pekee chenye majibu yote ya maisha ya mwanadamu. Siyo bure kimekuwa kikipigwa vita sana. Shetani anajua kuwa kadiri watu wanavyolijua Neno la Mungu ndivyo inavyokuwa vigumu kuwatumikisha.
Ninamshukuru Mungu kwa kuniwezesha kuwa msomaji wa Biblia. Ndicho kitabu kikichonisaidia kuliko kitabu kingine chochote kile.