Biblia kwa Jicho Jingine

GE 18:20-21 God decides to "go down" to see what is going on.
PR 15:3, JE 16:17, 23:24-25, HE 4:13 God is everywhere. He sees everything. Nothing is hidden from his view.

GE 19:30-3
 
GE 18:20-21 God decides to "go down" to see what is going on.
PR 15:3, JE 16:17, 23:24-25, HE 4:13 God is everywhere. He sees everything. Nothing is hidden from his view.

GE 19:30-3
 
yupo wapi Bilionea Asigwa? tunasubir part 2
 
Mkuu mimi naomba unipe link nienede nikaisome kwa lugha halisi ya mwandishi halisi tofauti na hii yako uliyotafsiri. Asante
Wabongo bwana hivi kwa nini hatuaminiani? Hauamini kuwa mleta mada huenda kwa ufahamu wake utokanao na namna anavyoielewa bible na vitabu vingine jumlisha kujaliwa mafunuo, maono, ndoto na simulizi mbalimbali kwa njia mbalimbali ndicho kimefanya atuletee na sisi. Hivi kwani hao wengine unaodai link zao unadhani wanatoa wapi maarifa na ufahamu kama huu? Amini watu wengi tumejaliwa uelewa mkubwa sana wa kuelewa mambo sema tu hatujajaliwa ukarimu wa kushea na wengine namna tunavyoelewa. Au tumekuwa wavivu wa kushea kile Mungu alichotufundisha kupitia maono, ndoto, simulizi na namna mbali mbali za kujipatia ufahamu na ujuzi mbalimbali. Tuaminiane wakuu....
 
Mkuu bado sijakusoma.Mungu ili awe Mungu hatakiwi kuwaza , Mungu hapaswi akae chin aseme nahitaji kufanya kazi kazi Kwa ufanisi hivyo nijiweke kwenye nafsi tatu.Mungu anayewaza lazima tumtilie shaka
 
Mkuu bado sijakusoma.Mungu ili awe Mungu hatakiwi kuwaza , Mungu hapaswi akae chin aseme nahitaji kufanya kazi kazi Kwa ufanisi hivyo nijiweke kwenye nafsi tatu.Mungu anayewaza lazima tumtilie shaka
kwanini hatakiwi kuwaza chief. kwan kwamini mtu anawaza
 
Kiswahiki tu kinakupiga chenga. Halafu unanikashifu mimi ninayeona makosa yako kuwa si muelewa. Hata hiyo muelewa yenyewe hujui kuiandika
Mbona hata wewe hujui kuandika? KISWAHIKI ndio kitu gani? Ulimaanisha KISWAHILI au kitu kingine?
Mambo mengine ni minor tu, kukejeli mtu hajui kuandika wakati mwenyewe hujui sio sawa.
Kuna Makosa ya kisarufi/kiuandishi kama wewe ulivofanya kwenye KISWAHIKI.
 
Kiswahiki ni Kiswahili kibovu.

Sasa wewe huyo huyo unauliza nilimaanisha nini, halafu wewe huyo huyo ushajijibu kwa kutoa hitimisho kwamba nimekosea?

Unauliza au unahukumu?
 
Mkuu bado sijakusoma.Mungu ili awe Mungu hatakiwi kuwaza
Unaongea ivi Kwasababu Tayari kwenye Ubongo wako unafahamu juu ya NENO kuwaza na maana yake; Imagine Ugekuwa Empty mind na Hilo NENO, leo hii ungekuja na statement tofauti kwamba kwanini MUNGU GANI HAWAZI
 
Hapo Nimeuliza Mkuu kwamba Ulimaanisha KISWAHILI? AU KITU KINGINE?
Hivyo wewe ulitakiwa ujibu tu, Mimi siwezi Kuhukumu, Anayeweza kuhukumu ni MUNGU tu


Thibitisha kwamba KISWAHIKI ni kiswahili Kibovu
Ukiandika natakiwa kujibu tu, halafu ukasema huwezi kuhukumu, ushahukumu kwamba sitakiwi kujieleza zaidi ya kujibu.

You are contradicting yourself.
 
Shida ya waleta Mada wa humu huyu nae anakuwa kama yuleee anaweza kuanzisha mada mpk toleo flan baada ya hapo anataka kubembeleezwa
 
Ukwasi na hofu ya kuuacha ulimwengu huu (KIFO), mara nyingi ni vyanzo vya kutotaka kuamini uwepo wa Mungu na kinyume chake,
 
Rudi uendelee na uchambuzi
 
Utamjua Mungu kwa kiwango cha hali yako ya kiroho.

Hali yako ya kiroho imekuwezesha kufikia hatua hiyo ya kutaka kumjua Mungu zaidi, na hilo linathibitishwa na imani uliyonayo kuwa Mungu yupo japo unashindwa kumwelewa. Maswali yako kumi yana mantiki kabisa na majibu yake unayo.

Shida inakuja kwenye kuyakubali na kuyaamini. Mungu yupo na ataendelea kuwepo. Mungu ni mkuu kiasi kwamba contradiction ulizonazo kwake ni vitu vidogo sana kulinganisha na hekima yake. All in all, endelea na uchunguzi wako na nakuombea upate majibu yatakayokuridhisha kabla Muda wako wa kuishi duniani Haujaisha.
 
Thibitisha roho ipo na si hadithi za watu tu.

Umeulizwa kuthibitisha habari moja ambayo haijathibitishwa (Mungu), unaongelea habari nyingine ambayo haijathibitishwa (roho).

Hapa sasa siyo tu umeshindwa kuthibitisha Mungu yupo, katika juhudi zako za kuthibitisha Mungu yupo umeleta habari nyingine ambayo hujaithibitisha, habari ya roho.

Thibitisha Mungu yupo.

Thibitisha roho ipo.
 
Unaupeo mdogo sana? Alafu unavimaswali vya watoto wa chekechea so ngoja nikupe jibu la chekechea ndio utaelewa. Ushawai kuwa na njaa?
 
Hivi Bilionea Asigwa hii makala haina muendelezo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…