Biblia kwa Jicho Jingine

mzee mbona unakuwa mbovu wa uelewa?
hebu soma juu comment yangu
utanielewa nilikuwa namanisha kipi
ubovu wangu uko wapi. yaani wewe unataka kutuaminisha kuwa yeyote akilitaja jina La Yesu ata kama hamaanishi Yesu huyu tunaemuamini sisi basi litatenda kazi?.naomba jibu hapo Mzee.
 
ubovu wangu uko wapi. yaani wewe unataka kutuaminisha kuwa yeyote akilitaja jina La Yesu ata kama hamaanishi Yesu huyu tunaemuamini sisi basi litatenda kazi?.naomba jibu hapo Mzee.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
wewe mjamaaa bado hujanielewa
hebu kasome ile comment yangu tena na tena utaelewa
 
Hujathibitisha Mungu yupo.

You gave a misanalogy that has a priori fallacy.

Na mahubiri mareefu ambayo sijayaomba.

Unaweza kuthibitisha Mungu yupo?

Huo mfano wa samaki anayeelea kwenye majiwakatihajui maji naweza kukugeuzia wewe nikasemahapo majini sawa na Mungu kutokuwepo, na wewe ni samakiunayeelea katika duniaisiyo Mungu, lakinihujui hilo.

Utanijibu vipi?

Thibitisha Mungu yupo.

Acha kuhubiri na kutoa mifano isiyolingana na unachofananisha.
 
Huwezi kumsaidia Mungu majukumu yake.

Umesemakweli.

Huwezi kumsaidia Mungu majukumuyake, kwa sababu Mungu hayupo.

Kama unabisha, thibitisha yupo.
Nithibitishe kwa namna gani mkuu?
Kazi alizofanya au picha yake.
 
Mtasitasita katika njia mbili mpaka lini? Ikiwa baali ni mungu mfuateni na ikiwa Bwana ni Mungu mfuateni, basi na tufanye madhabahu mbili moja ya baali na ya pili ya Bwana na Mungu ajibuye kwa moto huyo ndio Mungu. Watu wakasema jambo hili ni jema.
 
kiranga ni sawa na mfano wa hao samaki ambao wanakataa uwepo wa maji wakiwa kwenye maji
 
Nani kasitasita katika njia mbili na kasitasita vipi?
kiranga ni sawa na mfano wa hao samaki ambao wanakataa uwepo wa maji wakiwa kwenye maji
Thibitisha.
 
Nani kasitasita katika njia mbili na kasitasita vipi?

Thibitisha.

Kiranga kuamini ni zawadi anayotoa Mungu mwenyewe, kwa sisi wakatoliki zawadi hiyo inasimamiwa na Mungu Baba mwenyewe naye anampa yeyote anayempenda yeye, mwingine anasaidia tu, ndio maana kuna sehemu ya sala inayosema tukaribie nasi tutakaribia, mwanzilishi wa imani ndani ya mtu ni Mungu mwenyewe.

Hivyo kudhani kwamba sisi kwa akili ya vichwa vyetu tutakusaidia wewe kumuona Mungu nikujilisha upepo, Mungu ataweka yeye mwenyewe kiu ya wewe kumjua na kumtafuta na hautatulia mpaka umekutana naye.

Imani ni zawadi atoae Mungu mwenyewe.

Mungu hawezi kujaa kwenye ubungo wa mwanadamu, twamjua kwa sehemu tu sio sawa na moja jumlisha moja mbili. Mungu hana mipaka kama ya theory za sayansi
 
Endelea, mambo ya kuthibitisha mungu yupo au hayupo hilo ni suala binafsi, kwa upande wangu naamini MUNGU yupo na anajidhihirisha so ya ngoswe wachie ngoswe
 
Umehubiri mengi kuhusu Mungu, lakini hujafanya kitu cha muhimu kabisa.

Hujathibitisha Mungu yupo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…