Biblia kwa Jicho Jingine

Biblia kwa Jicho Jingine

Huko kwenye Mungu asiye wa dini tutafika.

Huku kwa Mungu wa Biblia na Quran unakubali hayupo?

Halafu tena unaniambia hoja yako inapinga zaidi ya Mungu kwa mtazamo wa dini,sasa kwanini uliniambia huko kwa Mungu asiye na dini tutafika kama ikiwa hoja yako inagusa hadi huko?

Halafu nimekujibu kuwa hadi sasa sijaona hoja ya kupinga kutokuwepo Mungu bali kuna hoja za kupinga Mungu kuumba huu ulimwengu,unasema jambo hilo ni contradiction.
Unaelewa kwamba nikikwambia:-

"Huko kwenye Mungu asiye wa dini tutafika.
Huku kwa Mungu wa Biblia na Quran unakubali hayupo?"

Kukuambia hivyo hakumaanishi kwamba nilikojadili kumeishia kwa Mungu aliye wa dini?

Unaelewa kwamba nikikwambia kwamba

"Huko kwenye hyperdimensions za string theory tutafika.
Huku kwenye Euclidean Geometry unakubali hakuna pembe tatu yenye pembe nne?"

Kukuambia hivyo hakumaanishi kwamba nilikojadili kumeishia kwenye Euclidean Geometry?

Unaelewa hilo?
 
Katika kutafuta Mungu na kutaka kuelewa kwa kuanza kuweka logic hizo tatu kuhusu Mungu, na kisha kufikia maamuzi kwa kufuata logic ya kuwa Mungu hayupo ni contradiction kwa sababu hatumelewi Mungu kwa kufuata logic. Logic haitoshi kumuelewa Mungu au akili ya binadamu haitoshi kumuelewa Mungu kwa ukamilifu wake. Mungu ametambulishwa kwetu kwa njia mbalimbali sio logic pekee, hivyo kutumia logic peke yake huwezi kumwelewa Mungu kwa ukamilifu wake hata hivyo akili ya binadamu haitoshi kumweka Mungu wote kwenye ubongo wako.

Asante kwa kutowekea problem of evil lakini wasomaji wa biblia wanasema haya kuhusu mateso na chanzo chake.
  • Deuteronomy 30 and Hebrews 12 open the possibilities that suffering may be punishment, natural consequences, or God's loving discipline.
  • Genesis 4:1-8 and the first murder suggests much suffering is the result of certain people's choices.
  • Genesis 45 says God's redemptive power is stronger than suffering and can be used to further good purposes.
  • Luke 22:31-34 says resist the fear and despair that accompany suffering, instead remember/believe God has the power to help.
  • Job 40 says God is not like humans but wants a relationship with all of them, which requires some surrender to God and acceptance of suffering.
  • Romans 8:18-30 sets present temporary suffering within the context of God's eternal purposes.
  • Hebrews 12:1-6 sets suffering within the concept of "soul-making" as do 2 Peter 1:5-8, James 1, and others.
  • Exodus 17:1-7 and the whole book of Job characterize suffering as testing and speak of God's right to test human loyalty.
  • 2 Corinthians 4:7-12 says human weakness during suffering reveals God's strength and that it is part of the believer's calling to embrace suffering in solidarity with Christ.
  • 2 Corinthians 1:3-7 says God is the comforter and that people learn how to better comfort others when they have personal experience of suffering.
  • The great hymn in Philippians 2, along with Colossians 1:24, combine to claim Christ redeems suffering itself. Believers are invited to share in that by emulating his good thoughts, words and deeds. All New Testament teachings on suffering are all grounded in and circle back to the fall of mankind and the possible redemptive power to individuals of the cross.[108]:160,161
 
Biblia imejaa contradictions na hivyo haiwezi kuwa kitabu kitakatifu cha Mungu.

Unaelewa hilo?

Unaelewa kusema Mungu haeleweki kwa logic ni "deus ex machina"?

Unaelewa "deus ex machina" ni nini?
 
Kiranga contradictions kwa sababu moja tu, Mungu anajua yote wakati mwanadamu hajui yote, unapaswa kujua hilo. Mungu atambulikani kwa mtazamo mmoja tu. Ukitaka kumtambua Mungu kwa mtazamo mmoja ndio unakutana na hizo contradictions, ulivyoamua kumtazama Mungu kwa upande wa logic tu, ndio kuzaliwa kwa maswali yako yote unayouliza.

Na kusema huwezi kumtambua Mungu kwa logic tu, hakumfanyi Mungu kuwa mashine
 
Thibitisha Mungu yupo na anajua yote kweli na kwamba hiyo habari si hadithi ya uongo tu.

Halafu huelewi hata "deus ex machina" ni nini. Umejibu kitu ambacho unaonekana hujakielewa.
 
Unaelewa kwamba nikikwambia:-

"Huko kwenye Mungu asiye wa dini tutafika.
Huku kwa Mungu wa Biblia na Quran unakubali hayupo?"

Kukuambia hivyo hakumaanishi kwamba nilikojadili kumeishia kwa Mungu aliye wa dini?

Unaelewa kwamba nikikwambia kwamba

"Huko kwenye hyperdimensions za string theory tutafika.
Huku kwenye Euclidean Geometry unakubali hakuna pembe tatu yenye pembe nne?"

Kukuambia hivyo hakumaanishi kwamba nilikojadili kumeishia kwenye Euclidean Geometry?

Unaelewa hilo?
Aisee! Hakuna ulichokieleza ili kieleweke umebaki kurudia neno moja tu unaelewa unaelewa,naelewa nini sasa?
 
Hakuna nilichokieleza ili kieleweke au wewe ndiye huna uwezo wa kuelewa kilichoelezwa kieleweke?

Unataka niweke truth table hapa?

Unaelewa truth table ni nini?
 
Kwa urefu huo hapana kwa kweli ungeliikata kata walau
 
Hakuna nilichokieleza ili kieleweke au wewe ndiye huna uwezo wa kuelewa kilichoelezwa kieleweke?

Unataka niweke truth table hapa?

Unaelewa truth table ni nini?
Kama ni hivyo basi itakuwa kweli sina uwezo wa kuelewa,maana kuna wakati mambo ya watoto mtu mzima anakuwa hawezi kuyaelewa.
 
Einstein alivyogundua Relativity alifikiri kama mtoto.

Angefikiri kama mtu mzima asingegundua kipya.

Kujifanya mtu mzima kwako ndiko kunakokutia upofu wa akili.

Hata usipoelewa una dismiss ukweli kwamba ni utoto.
 
Einstein alivyogundua Relativity alifikiri kama mtoto.

Angefikiri kama mtu mzima asingegundua kipya.

Kujifanya mtu mzima kwako ndiko kunakokutia upofu wa akili.

Hata usipoelewa una diamiss ukweli kwamba ni utoto.
Unaposhindwa kueleza chenye kueleweka unasingizia watu hawana uwezo wa kukuelewa na si kwamba wewe ndio umeshibdwa kueleza kitu cha kueleweka.

Ndio maana nasema yawezakana unayoyaeleza ni sawa na mambo ya kitoto ambayo mtu mzima hawezi hayaelewi.
 
Nimekuuliza, unakubali dunia hii ina mabaya au hukubali?

Umeshindwa kujibu.

Kwa sababu ama umejaa ghilba, unaona ukijibu jibu lako litakushitaki.

Ama umejaa kamasi kichwani hujui jibu.
 
Hatukuwa tukijadili kuhusu dunia kuwa na mabaya au hakuna ,suala hilo ulishalikimbia ajabu unakuja kulichomeka pasipohusika.

Naona unanichosha tu.
 
Si kwamba nakuchosha, huna pumzi.

Hujajibu swali.

Duniani kuna mabaya?
 
Nakuuliza wewe Kiranga mabaya ni nini???

Ujinga, maradhi, kifo, njaa, umasikini, majanga ya asilina mengine yanayofanana na hayo.

Mungu wenu alishindwa kuumba ulimwengu ambao mabaya haya hayawezekani kuwepo?
 
Si kwamba nakuchosha, huna pumzi.

Hujajibu swali.

Duniani kuna mabaya?
Umekuwa kama mtoto unachotaka ndiyo kiwe hicho hicho,ukiulizwa swali wewe haujibu na ukiuliza wewe unalazimisha ujibiwe..acha twende hivyo hivyo maana ndio tulivyo kuzowesha.

Yeah duniani hutokea mabaya na pia hutendeka mabaya.
 
Wewe ndiye hujajibu swali hili.

Kwa nini Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote, kaumba ulimwengu ambao unaruhusu mabaya yaweze kutokea, wakati alikuwa na uwezo, ujuzi na upendo wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezi kutendeka?

Hujajibu swali hili.
 
Unataka kuniambia hayo unayoita mabaya hutokea kwa sababu tu aina ya huu ulimwengu unayaruhusu?
 
Back
Top Bottom