Biblia kwa Jicho Jingine

Biblia kwa Jicho Jingine

Unaweza kuelezea kwa mfano ni jinsi gani ulimwengu ungeyazuia hayo mabaya?
Kama Mungu yupo.

Na Mungu huyo ni mjuzi wa yote. Mungu huyo ni mwenye uwezo wote. Mungu huyo ni mwenye upendo wote.

Angetaka kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani kuwepo, kwa sababu sheria za huo ulimwengu, haziruhusu mabaya yaweze kutendeka. Haziruhusu mabaya hata kuweza kufikirika, iwe mabaya hayapo na hayawezikuwepo hata katika dhana tu.

Angeshindwa kuumba hivyo?

Ukisema angeshindwa, maana yake umekubali hawezi yote, na hivyo si Mungu kwa minajili ya muweza yote.

Sasa, Mungu huyo, angeshindwa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani, hayajulikani na wala hayapo kabisa, kwa kuwa sheriaza ulimwengu haziruhusu mabaya yaweze sio tu kuwepo, bali hata kufikirika.

Huyo Mungu muweza yote, mwenye ujuzi wote na upendo wote, angetaka kuumba ulimwengu huo, angeshindwa?

Kwa mfano, uuaji ni mbaya.

Mungu alishindwa kuumba ulimwengu ambao mtu hawezi kufikiria kumuua mtu mwingine kabisa, yani wazo la mtu mmoja kumuua mtu mwingine liwe ni kitu ambacho viumbe wa Mungu hawawezi kulifikiria.

Yani, Mungu kwa uwezo wake wote,alishindwa ku program DNA ya viumbe wake izuie wazo la kuuana?

Mungu alishindwa kuumba ulimwengu huo?
 
Kiranga nimekuomba unitolee mfano tu wa jinsi ulimwengu ungezuia mabaya kutokea au kutendeka maana hoja yako ni kwamba hayo mabaya yanatokea kwa sababu tu huu ulimwengu unayaruhusu.

Sasa naona unazungumzia watu sijui kufikiria uovu mara DNA za viumbe badala ya kuelezea ulimwengu kama ulimwengu ungezuia vp mabaya?
 
Mfanounaoutakaunatakauwe umefikia viwango ganiilinijue ninapokupa mfano nikupemfanogani na nisikupemfanogani?

Nimekupa mfano wa laws of nature na DNA, kwamba Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote angeweza ku program DNA ya viumbe wake, ili wasiwezekufikiria kuuana.

Sasa hapokitu ambacho hujaelewa ni kipi?

Huyo Mungu wenu muweza yote alishindwa kuumba viumbe ambao hawawezi kuwa na wazo la kuuana?
 
Hebu nisaidie katika hayo uliyoyaeleza,ulimwengu umehusika vp?hadi tuseme ikifanyika kama ulivyoeleza ulimwengu ndio utakuwa umezuia?
 
Unakubali kwamba kuna kanuni za asilizinazoendesha ulimwengu?

Kwamba kuna gravity inafanya dunia ikuvute chini usipae juu angani kamahujapazwa na kitu kwa mfano?

Kwamba majiukiyamwaga juu mlimanikwamfano, kamahujayawekeakitu cha kuyapandisha, huwa hayapandi juu, yanashukachini?
 
Ndio endelea.
 
Ndio endelea.
Sasa kama unakubali hilo,na unakubali Mungu yupo.

Huyo Mungu anashindwa kuweka sheria za asili za kukataza mawazo ya kuuana? Kama supposedly alivyoweka sheria za asili za kumfanya mtu avutwe na gravity duniani asi fly off into outer space na ku suffocate huko?

Mungu alishindwa kuumba ulimwengu ambao wazo la kuuana halijulikani kwa viumbe wake?
 
Wazo la kuuana na kuuana ni vitu viwili,kuua sio lazima ukusudie kwa maana ya kuwa na hilo wazo la kuua na ndio maana kuna kuua bila kukusudia.

Ukichinja(kuua) ng'ombe au mbuzi na kuumla,jambo hilo halichukuliwi kama ni ubaya ila ukiua binaadamu jambo hilo huwa ni baya. Kwa hali hiyo unafikiri tatizo ni aina ya ulimwengu kwamba unaruhusu mabaya?
 
Simba akikurarua akule wewe jambo hilo halitakuwa baya kwako?

Mungu alishindwa kuumba ulimwengu ambao hauna kuuana?
 
Halichukuliwi kwamba ni ubaya na nani?

Huo ni utamaduni wenu, katika Jainism kuua kiumbe chochote ni kitu kibaya.

Wewe ukiuawa na jidubwana lililokuzidi nguvu na akili utaona sawa?

Hapo ndipo utaona dini zenu zimewekwa ili mhalalishe kukikuza, hazina ukweli.

Hujajibu swali ka kukuuliza kama Mungu alishindwa kuumba ulimwengu ambao jambo baya haliwezi kufikirika wala kufanyika.

Hujajibu.
 
Kumbe jambo linaweza kuwa baya kwa jamii moja na lisiwe baya kwa jamii nyengine huo ndio uhalisia,ndiyo maana nikakuuliza katika mazingira hayo utasemaje ulimwengu ndio tatizo kwamba unaruhusu ubaya?

Hauoni unalazimisha kuhusisha visivyohusiana?
 
Hujaelewa,

Jambo baya linaweza kuchukuliwa si baya na jamii moja, likachukuliwa baya na jamii nyingine.

Kwa nini Mungu hajaumba ulimwengu ambao hauruhusu ubaya wowote kwa yeyote popote?

Hujajibu swali hili.
 
We jamaa tumeshakuchoka! Kwanini huanzishi mada zako kuelezea hayo maoni yako ya kipuuzi? Kazi kudandia mada za watu na kuharibia watu mada zao. Acha ubwege bwana, tumekuchoka, anzisha mada zako
 
Unafanya makosa yafuatayo.

1. Unanilazimisha kunyamaza.
2. Unavunja kauli mbiu ya JF ya "Where We Dare To Talk Openly" kwa kutaka kunivunjia uhuru wangu wa kujieleza.
3. Unafikiri kumchoka mtu mwenye mawazo tofauti nawe ni sababu tosha ya mtu huyo kunyamaza.
4. Unanitaka kuanzisha mada bila sababu.
5.Unaandika maoni yangu ya kipuuzi, bila kuweza kuthibitisha kwamba ni ya kipuuzi.
6.Unaandika kuwa naharibu mada za watu, bila kuweza kuthibitisha kwamba naharibu mada.
7. Umenitukana kwamba nafanya ubwege, bila kuweza kuthibitisha kwamba nafanya ubwege.
8. Unaandika "tumekuchoka" bila kueleza mlionichoka ni wewe na nani.
9.Unaendekeza udikteta katika forum inayothamini uhuru wa mawazo.
10. Hujaweza kujibu hoja zangu za msingi za kutaka uthibitisho kwamba Mungu yupo.
 
Hujaelewa,

Jambo baya linaweza kuchukuliwa si baya na jamii moja, likachukuliwa baya na jamii nyingine.

Kwa nini Mungu hajaumba ulimwengu ambao hauruhusu ubaya wowote kwa yeyote popote?

Hujajibu swali hili.
Ni vilevile tu jambo linaweza kuwa baya sehemu A na lisiwe jambo baya sehemu B,wengine kwao kula nyama ni jambo baya ila wengine nyama tunakula si jambo baya.

Ndio maana nashangaa unaposema ulimwengu unaruhusu mabaya!
 
Kwa hiyo unasema hakuna jambo lililo baya pote bila kujali kama linachukuliwa baya au si baya?
 
Tatizo sio kwamba hakuna mabaya bali ni kusema huu ulimwengu ndio unaruhusu mabaya,kama hilo suala la nyama kwamba wengine ni jambo baya kula nyama na wengine si jambo baya kabisa je,hapo ulimwengu unahusika vp?

Ulimwengu upo kama ulivyo ila uwepo wetu ndio unatafsiri hili baya na lile zuri,hivyo hauwezi kusema ulimwengu unaruhusu mabaya.
 
Basi umepotoka...
Mungu wa kweli atafutwi kwa fikra zako na Akili zako.
be humble utampata MUNGU WA KWELI.
Nilishampata kitambo tu. Ni Mungu mmoja tu mwenye enzi, Mtukufu wa daraja, Hakuzaa wala kuzaliwa, Hana mshirika. Na ndo muumba wa vitu vyoote, vinavyoonekana na visivyoonekana. So, i believe in oneness of him.!

Katika akili ya kawaida tu. Inawezekanaje kiumbe kimoja (MUNGU) kiwe kinajigawanya na kujikusanya...ili hali kinauwezo wa kutumia malaika zake.!? Bado siamini katika utatu wa Mungu. Dhana hio ni tata sana na haina uthibitisho.

Mfano, Yesu alipopaa kwenda mbiguni alisema ataenda kukaa ktk mkono wa kuume wa Mungu.

Swali, Inawezekanaje akati yeye ni Mungu.!? Anawezaje kukaa kuume kwake mwenyewe.!?

Hapo ndo huwa nakuja kuamini kuwa ni kweli dhana ya trinity ilikopiwa na ku paste toka imani za Ugiriki ya kale.
 
Back
Top Bottom