Biblia kwa Jicho Jingine

Biblia kwa Jicho Jingine

mm ktk uongo huu simo kabisa" ety melchizedech ni malaika who told u?? the bible says Melchzedech hana baba wala mama , Melchzedech hana mwanzo wa siku zake wala mwisho,,,,, ww unasema ni malaika?? do angels have these characteristics??
 
Mduara wa Majira ya aliyeumba CHANZO HALISI (Real Source)
Screenshot_2022-12-07-13-53-57-05.jpg
 
Nipenda sana inapanua uelewa zidi ya uwepo wa mungu.tatizo hujamalizi umeniacha njia panda.kama Bado upo hai tafadhari malizia mada ndugu yangu
 
Huna majibu ya maswali yangu na huna uhakika na unachojitetea nachokwa sababu Mungu hayupo.

Unaandikavitu usivyona uhakika navyo.

Kwa kauli yako mwenyewe umekubali hili.
Naminomba nijibu maswali haya:
1.maisha ni nini?(what is life)
2.chanzo Cha maisha ni nini?(source of life)
3.asili ni nini?(what is nature?)
4.source of nature (chanzo Cha asili ni no)
Kiranga ukinijibu haya ntaweza kujibi maswali Yako Kwa mungu hayupo.
 
Hata kama sijui jibu la swali hata moja kati ya hayo uliyoniuliza.

Ukweli kwamba una maswali hayo unaonesha Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na mapenzi yote kwa viumbe vyake hayupo.

Angekuwepo, asingewapa viumbe vyake maswali ambayo hawana majibu ya wazi.
 
Na watu kama nyie mungu Ali aliwaacha ili muangamie katika upambavu wenu kwa sabubu wa ugumu wa mioyo yenu.

Kilichobaki kwako mungu akupe neema tu.
 
Wewe ni shetani
Hata kama mimi ni shetani kweli.

Hilo nalo litaonesha Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo.

Ulimwengu ulioumbwa na Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote, logically, hauna shetani.
 
Na watu kama nyie mungu Ali aliwaacha ili muangamie katika upambavu wenu kwa sabubu wa ugumu wa mioyo yenu.

Kilichobaki kwako mungu akupe neema tu.
Kwanza kabisa thibitisha Mungu yupo ili tujue unachosema ni kweli na si hadithi za uongo za mapokeo tu.

Pili, Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote kutowapa watu fulani neema ni contradiction inayoonesha huyo Mungu hayupo. Angekuwepo angewapa wote neema sawa.

Huyo Mungu unayemsema yupo, hayupo, umelishwa ujinga na uongo tu kuambiwa yupo.
 
Hata kama mimi ni shetani kweli.

Hilo nalo litaonesha Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo.

Ulimwengu ulioumbwa na Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote, logically, hauna shetani.
Ukitaka kujua aliyeumba yupo au hayupo lazima ujue kwanza huu uovu,mabaya,kifo, mauti N.K vilianzia wapi.Pia lazma tujue aliyeumba hufanya kazi kwa kanuni na majira na sio kama Akili za watu wanavyodhani kwa Akili zao na utashi wao.
 
Kwa hiyo huyo unayemsema aliyeumba, kwa uwezo wake wote, ujuzi wake wote na upendo wake wote alishindwa kuumba ulimwengu ambao uovu/ubaya hauwezi kutokea na haujulikani?

Unaelewa kwamba uwezekano wa uovu/ubaya kuwepo una contradict uwepo wa Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote?
 
Hata kama sijui jibu la swali hata moja kati ya hayo uliyoniuliza.

Ukweli kwamba una maswali hayo unaonesha Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na mapenzi yote kwa viumbe vyake hayupo.

Angekuwepo, asingewapa viumbe vyake maswali ambayo hawana majibu ya wazi.
Basi usihitimishe kwamba mungu hayupo.nibora ukaamini yupo ukafika usimkute,nasio ukaamini hayupo ukamkuta yupo.
 
Kwa hiyo huyo unayemsema aliyeumba, kwa uwezo wake wote, ujuzi wake wote na upendo wake wote alishindwa kuumba ulimwengu ambao uovu/ubaya hauwezi kutokea na haujulikani?

Unaelewa kwamba uwezekano wa uovu/ubaya kuwepo una contradict uwepo wa Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote?
Unaweza kuwa unauliza lakini ukawa hujui maana ya Dunia na ulimwengu, aliyeumba alikusudia mbingu (Moyo) na nchi (uzao wake) mwanzo 1:1 ambapo ndani yake hakukuwa na mabaya Wala kifo, lakini aliyekasimiwa uumbaji (Moyo wa mwanzo) baada ya kuwaza badala ya kutekeleza ndipo inatokea ishara ya kwanza mbinguni ufunuo 12:1 iliyoleta mauti,kifo,mabaya na Kila aina ya matatizo katika majira zote zilizotangulia ndo maana hata wewe umeyakuta huo uovu na mabaya ndo mana huamini aliyeumba yupo.
 
Kwanza kabisa thibitisha Mungu yupo ili tujue unachosema ni kweli na si hadithi za uongo za mapokeo tu.

Pili, Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote kutowapa watu fulani neema ni contradiction inayoonesha huyo Mungu hayupo. Angekuwepo angewapa wote neema sawa.

Huyo Mungu unayemsema yupo, hayupo, umelishwa ujinga na uongo tu kuambiwa yupo.
Huwezi kumpangia mungu eti kwa sababu afanye ww unavyotaka ambazo ww unaziita contradictions ili adhibitike kuwa yupo.

Mungu ana plan zake, mawazo yake si kama yako/wanadamu.

Pia kuendelea kuamini kuwa hayupo, hakutokumfanya asiwepo kweli,, kwanza watu kama nyie ambao hamna imani mungu hawaitaji.

Endelea kuamini hivyo.
 
Kwa hiyo huyo unayemsema aliyeumba, kwa uwezo wake wote, ujuzi wake wote na upendo wake wote alishindwa kuumba ulimwengu ambao uovu/ubaya hauwezi kutokea na haujulikani?

Unaelewa kwamba uwezekano wa uovu/ubaya kuwepo una contradict uwepo wa Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote?
Na imani chanzo chake ni kusikia na kusikia huja kwa neno la kristo.

Hivyo basi nakupasha habari za kristo kuwa, alikufa kwa ajiri ya dhambi zetu, akaacha utukufu na uungu aliokuwa nao kwa ajiri yetu akafanyika mwanadamu wa daraja la chini kabisa ili aokoe ulimwengu.

Yesu kristo atahukumu ulimwengu, kwa sababu anayo mamlaka duniani na mbinguni na yeye ndio njia pekee ya uzima.

Tubu zambi zako ili ufanyike mtoto wa mungu na uepuke hukumu ya jehanamu na shetani aliye ndani yako ashindwe na kurudi nyuma kwa jina la yesu
 
Kama nabii Musa aliomba amuone Mungu akamkatalia ,lakini akamwambia nitapita utaona mgongo (back head)Musa nabii wa Mungu akazimia baada yakuona mgongo wa mungu.wewe ni nani?umhoji Mungu,umuone Mungu,nivigumu sana Kwa binadamu mwenye mwili(nyama)kumuona Mungu.
 
Mungu huyu aliamua kujigawa katika vipande vikubwa vitatu ambavyo vyote vilibeba Uungu wake kwa ukamilifu wa 100%, vipande ambavyo vingemuwezesha yeye kwanza kutekeleza tukio zito lililokuwa mbele yake, lakini pili kurahisisha kile ambacho anataka kwenda kukifanya kwa kuwa kwa vyovyote vile kwa hulka yake alitaka kuugawa uhai wake(kuusambaza) kwa viumbe vyake atakavyoviumba lakini pia kuwa navyo karibu kama familia moja
Ili mjadala unoge, je na wenzetu ng'ambo ya pili wanasema hivihivi au ni sisi tu
 
Na imani chanzo chake ni kusikia na kusikia huja kwa neno la kristo.

Hivyo basi nakupasha habari za kristo kuwa, alikufa kwa ajiri ya dhambi zetu, akaacha utukufu na uungu aliokuwa nao kwa ajiri yetu akafanyika mwanadamu wa daraja la chini kabisa ili aokoe ulimwengu.

Yesu kristo atahukumu ulimwengu, kwa sababu anayo mamlaka duniani na mbinguni na yeye ndio njia pekee ya uzima.

Tubu zambi zako ili ufanyike mtoto wa mungu na uepuke hukumu ya jehanamu na shetani aliye ndani yako ashindwe na kurudi nyuma kwa jina la yesu
Kwa nini Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote aumbe ulimwengu ambao dhambi inawezeiana kufanyika, wakati alikuwa na uwezo wote, ujuzi wite na upendo wote wa kuumba ulimwengu ambao dhambi haiwezi kufanyika?

Hujajibu swali hili.
 
Back
Top Bottom