Biblia kwa Jicho Jingine

Biblia kwa Jicho Jingine

Huwezi kumpangia mungu eti kwa sababu afanye ww unavyotaka ambazo ww unaziita contradictions ili adhibitike kuwa yupo.

Mungu ana plan zake, mawazo yake si kama yako/wanadamu.

Pia kuendelea kuamini kuwa hayupo, hakutokumfanya asiwepo kweli,, kwanza watu kama nyie ambao hamna imani mungu hawaitaji.

Endelea kuamini hivyo.
Wewe hujaelewa kwamba mimi simpangii Mungu, naonesha logical inconsistencies.

Yani, wewe ukisema sasa hivi uko Dar es salaam, halafu hapo hapo ukaniambia uko Paris France, nikikuambia haiwezekani uwe Dar na Paris kwa wakati mmoja sikupangii, nakuimonesha tu kwamba habari yako ina uongo.

Habari ya Mungu wenu ina uongo.

Kwa sababu ina cintradiction.

Kwa sababu Mungu huyo hayupo, katungwa kwa hadithi ya uongo tu.

Ukibisha, thibitisha Mungu huyo yupo.
 
@kiranga ni agent wa kuzimu iwe anajua au hajui kama ni roho chafu zinamtumikisha ingawe yeye anaona sifa au ni mjuaji sana.
Amini au usiamini siku yaja ya hukumu
Kama kweli mimi ni agent wa kuzimu, hilo nalo linathibitisha Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na uoendo wote hayupo.

Angekuwepo, asingeumba ulimwengu ambao unaweza kuwa na agent wa kuzimu.
 
Basi usihitimishe kwamba mungu hayupo.nibora ukaamini yupo ukafika usimkute,nasio ukaamini hayupo ukamkuta yupo.
Hili jambo linaitwa "Pascal's Wager".

Wewe nikikuambia Mungu yupo, na Mungu mwenyewe ni mimi, nipe hela zako zote kama sadaka, utakubali kwa kuona ni bora uamini kuwa mimi ni Mungu, usije kutoamini halafu nikawa Mungu kweli ikala kwako?
 
Wewe Ambaye inahoji uwepo Mungu nina wasiwasi ukamilifu wako kiakili kwakweli
Nimekupa sababu za kimantiki za kukataa uwepo wa Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote.

Hujazipangua, kama hata umezielewa.

Kisha, nikakutaka uthibitishe kwamba Mungu huyo yupo.

Mpaka sasa hujathibitisha.

Unajionesha ulivyo bingwa wa kulazimisha hoja kwa nguvu, badala ya kutoa maneno yenye nguvu ya hoja.

Unaelewa kwamba hata ukiwa sawa kwamba mimi s8nabukamilifu wa akili, hilo nalo litaonesha Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo?

Unaelewa kwamba Mungu huyo kuumba ulimwengu ambao una watu wana mapungufu ya akili ni contradiction?
 
Ni kweli kabisa mkuu kubwa bado sijakuelimisha samahani nikuulize unaamini Biblia kwasababu elimu ya msingi iko kwenye vitabu vya Mungu soma mwanzo 1--12) utapata mwanga mkuu
 
Kwa hiyo huyo unayemsema aliyeumba, kwa uwezo wake wote, ujuzi wake wote na upendo wake wote alishindwa kuumba ulimwengu ambao uovu/ubaya hauwezi kutokea na haujulikani?

Unaelewa kwamba uwezekano wa uovu/ubaya kuwepo una contradict uwepo wa Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote?
Lakini Kiranga siku hizi hauna Logic Tena zaidi ya ubishi tu.

Unalazimisha Mungu aumbe Dunia yenye sifa unazozitaka. Eti Dunia isiwe na magonjwa,vifo,ajari,Vita N.K? Kama unataka kuona mahari penye sifa Kama hizo basi hakikisha unaingia mbinguni make ndiko ambako Kuna Kila kitu kizuri ambacho Mungu aliwaahidi watenda mema. Usilazimishe matakwa yako ya kibinadamu kuwa mipango ya Mungu. Mungu Ana Mipango yake (Duniani shida na taabu harafu Mbinguni Ni Raha mstarehe). Ukitaka kuona upendo wa Bwana basi hakikisha unafanya juu Chini ufike Mbinguni,hapo ndio utayashuhudia mema ya Mungu mwenyewe.
 
Kwanza kabisa unaelewa kwamba mimi silazimishi Mungu aumbe dunia yenye sifa ninazozitaka.

Ninahoji imekuwaje Mungu aumbe dunia iliyo tofauti na sifa zake za ujuzi wa yote, uwezo wote na upendo wote.

Yani wewe unaambiwa kuna baba ana uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote. Halafu anajenga nyumba ya kuishi familia yake, badala ya kuifanya nyumba iwe salama kabisa, anajenga nyumba na kuitegeshea mabomu vyumba vyote.

Hili linaingia akilini kweli?

Huyu baba ambaye ana uwezo wote wa kujenga nyumba isiyo na mabomu, ana ujuzi wote wa kujenga nyumba isiyo na mabomu, ana upendo wote wa kujenga nyumba isiyo na mabomu, kwa nini kajenga nyumba na kuijaza mabomu vyumba vyote?

Hapa inaonekana kuna mushkeli. Hii habari haiko sawa.

Habari ina logical inconsistency. Ina contradiction.

Si mimi nalazimisha baba ajenge nyumba ninayoitaka. Nasema tu, nyumba iliyopo yenye mabomu kila chumba haiendani na sifa za huyo baba mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote.

Umeelewa hilo?

Mimi nakuonesha contradiction. Kitu ambacho ni muhimu sana katika logic.

Unasemaje nakosa logic? Nakosa logic wapi? Kivipi?

Nioneshe nilipokosa logic tuchambue mambo kwa logic point by point.

Huko mbinguni unaposema huwezi kuthibitisha kupo. Kwa hiyo nikikwambia uthibitishe kupo huwezi. Hakuna mbingu, ndiyo maana huwezi kuthibitusha kuna mbingu. Hizo habari za mbingu ni uongo mwingine kukufariji tu kama habari za Mungu.

Ndiyo maana tangu dunia ianze hakuna mtu aliyethibitisha Mungu yupo, hakuna mtu aliyethibitisha kuna mbingu.

Halafu, kama Mungu ana uwezo wa kutupa maisha mazuri muda wote, kwa nini atubanie mpaka mbinguni? Ina maana yeye anafurahia sana mabaya yanayotokea sasa hivi watu wanakufa kwa mafungu?
 
@kiranga ni agent wa kuzimu iwe anajua au hajui kama ni roho chafu zinamtumikisha ingawe yeye anaona sifa au ni mjuaji sana.
Amini au usiamini siku yaja ya hukumu
Acha kumtisha huyu mwamba hamna hoja nyie
 
Lakini Kiranga siku hizi hauna Logic Tena zaidi ya ubishi tu.

Unalazimisha Mungu aumbe Dunia yenye sifa unazozitaka. Eti Dunia isiwe na magonjwa,vifo,ajari,Vita N.K? Kama unataka kuona mahari penye sifa Kama hizo basi hakikisha unaingia mbinguni make ndiko ambako Kuna Kila kitu kizuri ambacho Mungu aliwaahidi watenda mema. Usilazimishe matakwa yako ya kibinadamu kuwa mipango ya Mungu. Mungu Ana Mipango yake (Duniani shida na taabu harafu Mbinguni Ni Raha mstarehe). Ukitaka kuona upendo wa Bwana basi hakikisha unafanya juu Chini ufike Mbinguni,hapo ndio utayashuhudia mema ya Mungu mwenyewe.
Mkuu Mungu wa kwenye vitabu kafeli mengi
 
Mungu yupi wewe unayemjua amefaulu kama Mungu katika amefeli kwa uelewa wako ninafikiri kubwa wote walio na mashaka ni wapo upande wa lusifa yule niko mkuu)ufunuo 9--12
 
Mkuu sehemu ya Kwanza nimeelezea wa upana sana hio kitu hapo juu.

Ukienda ITV pale Mwenge utakuta kampuni haiitwi ITV ila ni IPP Media.
Kampuni hio kwa nje inajulikana kama ITV kama brand name iliyo maarufu, lakini kiuhalisia ni sehemu tu ya IPP Media.

Yesu ndiye Neno la Mungu na Jina Yesu halina muda mrefu kuanza kutumika, ni kama miaka 2000 tu imepita, lakini Neno alikuwepo kabla ya Jina Yesu kuanza kutumika na amefanya mambo makubwa sana kwa kuwa ndiye mtendaji mkuu wa Serikali ya Mungu.

Lakini kwa kuwa serikali ya Mungu ni ya Kifalme , Yesu au Neno huyo ndiye right hand man wa Ufalme wa Mungu au wa Serikali ya Mungu.

Yesu ni Mungu kwa cheo chake.
Yesu ni Mtendaji mkuu wa Serikali ya Mungu kwa utendaji wake.
Yesu ni mwokozi wa wanadamu huku duniani.
Lakini Yesu pia ndiye kamanda mkuu wa vikosi vyote vyma mbinguni kivita kwa kuwa wanadamu hupata mamlaka ya kuwaamuru malaika kwa kutumia Jina la Yesu, au wamepewa uwezo wa kiutendaji kwa kujificha chini ya Jina la Yesu.
Yesu pia ndiye Hekima kama kitabu cha Mithali kinavyomtaja.

Ila nikwambie tu siri moja ambayo ulikuwa huijui, inawezekana kabisa siku ukaenda Mbinguni usimkute Mungu Baba, Mungu Mwana na Mungu Roho Mtakatifu kwa utofauti wao kama tunavyoelewa huku duniani, ila Ukamkuta Yesu tu kwa kuwa hawa ni wamoja ila pia wao ni tofauti.

Hapo mwanzo kulikuwa na Neno

" Huenda ‘ushahidi’ wa uungu wa Yesu ulionukuliwa sana ni Yohana 1:1 na 14,

“Hapo mwanzo kulikuwako Neno, naye Neno alikuwako kwa Mungu, na Neno alikuwa Mungu… Naye Neno alifanyika mwili, akakaa kwetu; nasi tukauona utukufu wake, utukufu kama wa Mwana pekee atokaye kwa Baba; amejaa neema na kweli.”

Hata hivyo, maelezo haya hayakutolewa na Yesu Kristo, wala hayakuhusishwa naye na mtunzi wa Injili kwa mujibu wa Yohana.

Hivyo, mistari hii haiundi ushahidi wa uungu wa Yesu,

hasa hasa kuzingatia shaka inayoshikiliwa na wasomi wa Kikristo juu ya Injili ya Nne.

Wasomi wa Biblia waliotunga Injili tano:
“Picha mbili zilizochorwa na Yohana na muhtasari wa injili (yaani Injili ya Mathayo, Marko na Luka) zote mbili haziwezi kuwa ubainifu wa kihistoria.

Neno lilohusishwa na Yesu katika Injili ya Nne limeundwa na wainjilisti kwa sehemu kubwa, na linaakisi mwendelezo wa lugha ya jamii ya Wakristo wa Kiyohana.

Neno la Kigiriki lilotumiwa na mtunzi wa Injili ya Nne asiyejulikana kwa “neno” ni logos.

Kwa kufanya hivyo, huyo mtunzi anamtambulisha Yesu kwa logos la wanafalsa wapagani wa Kigiriki, neno ambalo lilikuwa na lengo takatifu na thabiti lililojitokeza ulimwenguni, huyo mtunzi akalipangilia neno hilo na kulipa mfumo na maana.

Wazo la logos katika fikra za Kigiriki huenda linarejea nyuma, kwa uchache hadi kwa mwanafalsafa wa karne ya sita BC, Heracleitus, aliyependekeza kuwa, kulikuwa na logos ulimwenguni anayetenda kwa mwanadamu kulingana na nguvu ya hoja.

Baadaye, Stoics analitambulisha logos kuwa ni tendo, mantiki, na kanuni ya kiroho inayosambaa katika ukweli wote.

Mwanafalsafa wa Kiyahudi anayeongea Kigiriki, Judaeus Philo wa Alexandria ( BC -45 CE), amefundisha kuwa logos alikuwa ni mpatanishi baina ya Mungu na ulimwengu, kwa kuwa na sifa mbili za uwakala wa Mungu na ulimwengu, na kuwa na sifa mbili za uwakala wa viumbe na wakala wa ambaye kupitia kwake akili ya mwanadamu inaweza kumfahamu Mungu.

Maandiko ya Philo yalihifadhiwa na kutunzwa na kanisa, na kueneza ufunuo kwa mafundisho ya kistaarabu ya tiolojia ya kifalsafa ya Kikristo.

Aliacha mafundisho ya fikra za Kipilato wakichukulia logos (Neno) na kuliita “mtoto wa kwanza wa kuzaliwa na Mungu.”

Utambulisho wa Yesu kwa logos, uliendelezwa katika kanisa la kwanza ikiwa ni tokeo la majaribio yaliyofanywa na wanatiolojia wa kwanza wa Kikristo pamoja na watetezi kuielezea imani ya Kikristo kwa istilahi ambayo ingekuwa wazi kwa ulimwengu wa Wayunani.

Zaidi ya hayo, ilikuwa ni kuwavutia wasikilizaji wao na mtazamo wao kuwa Ukristo ulikuwa unashinda, au mrithi wa wale wote waliokuwa wanafalsafa bora wa kipagani.

Kwa hiyo, katika kazi zao za utetezi na ubishani, Mapadri wa Kikristo wa kwanza wameeleza kuwa Yesu alikuwa ni logos aliyekuwepo hapo kabla.

Neno la Kigiriki lililotumika kwa maana ya ‘Mungu’ katika hiyo ibara ni “na Neno lilikuwa kwa Mungu,” lipo katika mtindo wa “definite form- yaani mtindo uliowazi, au unaofahamika” batheos, Linalomaanisha “Huyo Mungu, au Mungu maalum”.

Hata hivyo, katika ibara ya pili “na Neno alikuwa Mungu”, neno la Kigiriki lililotumika kwa maana ya ‘Mungu’ katika ibara lipo katika mtindo wa “indefinite form- yaani mtindo usiowazi, au usiofahamika” tontheos, Linalomaanisha ‘mungu yoyote, yaani mungu asiyejulikana, au mungu yoyote asiye maalumu’.

Kwa hiyo, Yohana 1:1, kwa uwazi zaidi ilipaswa itafsiriwe, “Hapo Mwanzo kulikuwa na Neno, na hilo Neno lilikuwa kwa Mungu, na hilo Neno lilikuwa mungu mwingine.”

Kwa hiyo, kama hilo neno lilikuwa mungu mwingine kwa ufahamu wa kifasihi, itamaanisha kuwa kulikuwa na miungu miwili na sio mmoja.

Hata hivyo, katika lugha ya Kibiblia, neno ‘mungu – asiyefahamika’ linatumika kwa maana ya istiari ili kuashiria nguvu.

Kwa mfano, Paulo alimtaja shetani kuwa ni ‘mungu – asiyefahamika’ katika 2 Wakorintho 4:4, "ambao ndani yao mungu wa dunia hii amepofusha fikira zao wasioamini, isiwazukie nuru ya injili ya utukufu wake Kristo aliye sura yake Mungu."

Pia, Musa alitajwa kama ni ‘mungu – asiyefahamika’ katika Kutoka 7:1, "BWANA akamwambia Musa, Angalia, nimekufanya wewe kuwa Mungu kwa Farao; na huyo ndugu yako Haruna atakuwa nabii wako.
 
Mkuu sehemu ya Kwanza nimeelezea wa upana sana hio kitu hapo juu.

Ukienda ITV pale Mwenge utakuta kampuni haiitwi ITV ila ni IPP Media.
Kampuni hio kwa nje inajulikana kama ITV kama brand name iliyo maarufu, lakini kiuhalisia ni sehemu tu ya IPP Media.

Yesu ndiye Neno la Mungu na Jina Yesu halina muda mrefu kuanza kutumika, ni kama miaka 2000 tu imepita, lakini Neno alikuwepo kabla ya Jina Yesu kuanza kutumika na amefanya mambo makubwa sana kwa kuwa ndiye mtendaji mkuu wa Serikali ya Mungu.

Lakini kwa kuwa serikali ya Mungu ni ya Kifalme , Yesu au Neno huyo ndiye right hand man wa Ufalme wa Mungu au wa Serikali ya Mungu.

Yesu ni Mungu kwa cheo chake.
Yesu ni Mtendaji mkuu wa Serikali ya Mungu kwa utendaji wake.
Yesu ni mwokozi wa wanadamu huku duniani.
Lakini Yesu pia ndiye kamanda mkuu wa vikosi vyote vyma mbinguni kivita kwa kuwa wanadamu hupata mamlaka ya kuwaamuru malaika kwa kutumia Jina la Yesu, au wamepewa uwezo wa kiutendaji kwa kujificha chini ya Jina la Yesu.
Yesu pia ndiye Hekima kama kitabu cha Mithali kinavyomtaja.

Ila nikwambie tu siri moja ambayo ulikuwa huijui, inawezekana kabisa siku ukaenda Mbinguni usimkute Mungu Baba, Mungu Mwana na Mungu Roho Mtakatifu kwa utofauti wao kama tunavyoelewa huku duniani, ila Ukamkuta Yesu tu kwa kuwa hawa ni wamoja ila pia wao ni tofauti.

YESU NI MTUME WA MUNGU

Kwa kupitia Quran, kimsingi Yesu ametambulishwa kuwa ni Mtume wa Mungu.

Katika Sura As-Saff 61:6, Mungu anamnukulu Yesu kama ifuatavyo: "وَإِذْ قَالَ عِيسَى ابْنُ مَرْيَمَ يَا بَنِي إِسْرَائِيلَ إِنِّي رَسُولُ اللَّهِ إِلَيْكُم مُّصَدِّقًا لِّمَا بَ�يْنَ يَدَيَّ مِنَ التَّوْرَاةِ ..."

"Na Isa bin Mariamu aliposema: Enyi Wana wa Israili! Hakika mimi ni Mtume wa Mwenyezi Mungu kwenu, ninayethibitisha yaliyokuwa kabla yangu katika Taurati…" As-Saff 61:6

Kuna aya nyingi katika Agano Jipya zinazounga mkono utume/unabii wa Yesu.

Zifuatazo ni aya chache tu miongoni mwa aya hizo:

katika Mathayo 21:11, watu wa zama za Yesu wamerekodiwa wakimchukulia Yesu kuwa ni mtume:

“Makutano wakasema, Huyu ni yule nabii, Yesu, wa Nazareti ya Galilaya.”

Katika Marko, 6:4, imeelezwa kuwa Yesu amejitaja yeye mwenyewe kuwa ni mtume:

“Yesu akawaambia, Nabii hakosi heshima, ispokuwa katika nchi yake mwenyewe, na kwa jamaa zake, na nyumbani kwake.”

Katika aya zifuatazo, Yesu anachukuliwa kuwa ametumwa akiwa ni mjumbe.

Katika Mathayo 10:40, imedaiwa Yesu amesema kuwa: “Awapokee ninyi, anipokee mimi, naye anipokeaye mimi, ampokea aliyenituma.”

Katika Yohana 17:3, pia, Yesu alinukuliwa akisema:

“Na uzima wa milele ndio huu, Wakujue wewe, Mungu wa pekee wa kweli, na Yesu Kristo uliyemtuma.”
 
Mkuu sehemu ya Kwanza nimeelezea wa upana sana hio kitu hapo juu.

Ukienda ITV pale Mwenge utakuta kampuni haiitwi ITV ila ni IPP Media.
Kampuni hio kwa nje inajulikana kama ITV kama brand name iliyo maarufu, lakini kiuhalisia ni sehemu tu ya IPP Media.

Yesu ndiye Neno la Mungu na Jina Yesu halina muda mrefu kuanza kutumika, ni kama miaka 2000 tu imepita, lakini Neno alikuwepo kabla ya Jina Yesu kuanza kutumika na amefanya mambo makubwa sana kwa kuwa ndiye mtendaji mkuu wa Serikali ya Mungu.

Lakini kwa kuwa serikali ya Mungu ni ya Kifalme , Yesu au Neno huyo ndiye right hand man wa Ufalme wa Mungu au wa Serikali ya Mungu.

Yesu ni Mungu kwa cheo chake.
Yesu ni Mtendaji mkuu wa Serikali ya Mungu kwa utendaji wake.
Yesu ni mwokozi wa wanadamu huku duniani.
Lakini Yesu pia ndiye kamanda mkuu wa vikosi vyote vyma mbinguni kivita kwa kuwa wanadamu hupata mamlaka ya kuwaamuru malaika kwa kutumia Jina la Yesu, au wamepewa uwezo wa kiutendaji kwa kujificha chini ya Jina la Yesu.
Yesu pia ndiye Hekima kama kitabu cha Mithali kinavyomtaja.

Ila nikwambie tu siri moja ambayo ulikuwa huijui, inawezekana kabisa siku ukaenda Mbinguni usimkute Mungu Baba, Mungu Mwana na Mungu Roho Mtakatifu kwa utofauti wao kama tunavyoelewa huku duniani, ila Ukamkuta Yesu tu kwa kuwa hawa ni wamoja ila pia wao ni tofauti.

Mt Paulo katika barua yake ya kwanza kuwapelekea Wakorintho aliandika:

Naam, na sisi tumeonekana kuwa mashahidi wa uongo wa Mungu; kwa maana tulimshuhudia Mungu ya kuwa alimfufua Kristo, ambaye hakumfufua, ikiwa wafu hawafufuliwi.
1 Wakorintho 15.15

Paulo anasema:

"Tulimshuhudia Mungu ya kuwa alimfufua Kristo."

Ikiwa Mungu kamfufua Kristo, hawawezi kuwa wote wawili hao ni mtu mmoja.

Mmoja alikuwa ni mtenda, mfufuaji, na wa pili alikuwa ni mtendwa, mfufuliwa.

Kama Kristo ni Mungu mwenye uwezo wa kufufua basi maelekeo ni kusema: "Kristo kajifufua", sio kafufuliwa.

Mwenye kufufuliwa ni mfu asiyejiweza kitu.
 
Mkuu sehemu ya Kwanza nimeelezea wa upana sana hio kitu hapo juu.

Ukienda ITV pale Mwenge utakuta kampuni haiitwi ITV ila ni IPP Media.
Kampuni hio kwa nje inajulikana kama ITV kama brand name iliyo maarufu, lakini kiuhalisia ni sehemu tu ya IPP Media.

Yesu ndiye Neno la Mungu na Jina Yesu halina muda mrefu kuanza kutumika, ni kama miaka 2000 tu imepita, lakini Neno alikuwepo kabla ya Jina Yesu kuanza kutumika na amefanya mambo makubwa sana kwa kuwa ndiye mtendaji mkuu wa Serikali ya Mungu.

Lakini kwa kuwa serikali ya Mungu ni ya Kifalme , Yesu au Neno huyo ndiye right hand man wa Ufalme wa Mungu au wa Serikali ya Mungu.

Yesu ni Mungu kwa cheo chake.
Yesu ni Mtendaji mkuu wa Serikali ya Mungu kwa utendaji wake.
Yesu ni mwokozi wa wanadamu huku duniani.
Lakini Yesu pia ndiye kamanda mkuu wa vikosi vyote vyma mbinguni kivita kwa kuwa wanadamu hupata mamlaka ya kuwaamuru malaika kwa kutumia Jina la Yesu, au wamepewa uwezo wa kiutendaji kwa kujificha chini ya Jina la Yesu.
Yesu pia ndiye Hekima kama kitabu cha Mithali kinavyomtaja.

Ila nikwambie tu siri moja ambayo ulikuwa huijui, inawezekana kabisa siku ukaenda Mbinguni usimkute Mungu Baba, Mungu Mwana na Mungu Roho Mtakatifu kwa utofauti wao kama tunavyoelewa huku duniani, ila Ukamkuta Yesu tu kwa kuwa hawa ni wamoja ila pia wao ni tofauti.

Katika kitabu cha Matendo ya Mitume inasimuliwa kuwa Mt Stefano alisema aliyoyaona yaliyo mbinguni.

Alisema:

Tazama! naona mbingu zimefunguka, na Mwana wa Adamu amesimama mkono wa kuume wa Mungu.
Matendo 7.56

Mwana wa Adamu ndiye Yesu, na kwa jina hilo ndio mwenyewe akipenda kujiita, sio Mwana wa Mungu.

Hapo basi huko mbinguni Stefano anasema anamwona Yesu kakaa mkono wa kulia wa Mungu.

Mwenye kukaa mkono wa kulia wa fulani hawezi kuwa ndiye yule yule fulani.

Hayo ni maelezo ya mbinguni.

Ni wazi basi kwa ushahidi wa Biblia kuwa Yesu hakuwa Mungu mbinguni kama alivyokuwa si Mungu duniani.
 
Uliyoyaandika yanafikirisha, pia binafsi yanathibitisha msimamo wangu kuwa kuna taarifa nyingi sana na uelewa mpana sana zaidi ya tafsiri nyingi za moja kwa moja za biblia kuhusu Mungu, uumbaji n.k.

Mungu ni mpana sana, Mungu haeleweki, akili za mwanadamu haziwezi kupata maana ya moja kwa moja kuhusu Mungu...

Kama ilivyoongelewa...tunajaribu kumuelezea Mungu kwa hulka za kibinadamu, tunamuweka katika sifa za kibanadamu, tunashindwa kutambua kuwa kuna viumbe vingine vingi (vinavyoonekana na visivyoonekana) ambavyo navyo vinampa Mungu sifa kwa namna vilivyoumbwa...

Itoshe kusema tu....uumbaji wote wa Mungu...hasahasa kwa kiumbe chake (mwanadamu)...amekipa bahati ya kipekee kuishi katika ulimwengu wa aina mbili: Ulimwengu wa nyama, ulimwengu wa kiroho...Mapenzi ya Mungu kwa binadamu ni zaidi ya upendo wa baba kwa mtoto....Mungu anatuwazia mema daima....Hata hofu ya kufa tunajiwekea wanadamu, kufa ni transtion ya kwenda kwenye utakatifu wa kwenda kwenye uwepo wa Mungu....na hata moto haupo, kumbuka roho zetu zina mission moja tu..kurudi zilikotoka...zirudi zinapopaswa kuwa, zirudi kwenye source yake....tumeshare roho (uwezo wa Kimungu) kupitia pumzi ya Mungu..hivyo mateso ya roho kuzuiliwa kurudi sehemu yake kutokana na mapungufu ndo Moto mwenyewe..

Asante mtoa mada...ubarikiwe huko uliko...Mungu yupo
 
Back
Top Bottom