Wakati serikali, wanaharakati na wapenda amani wakipambana dhidi ya kuenea kwa vitendo vya kishoga na kisagaji, mashabiki wa mambo ya ushoga na usagaji wameanza kuingiza vitendo hivyo hapa nchini kupitia kwenye biblia kwa kasi ya kutisha. Biblia hizo zimenyofolewa baadhi ya vifungu vyenye maadili na kuchomekea vifungo vya kishoga kama inavyoelezwa kwenye video hii hapa chini.
Kana kwamba hilo halitoshi, biblia hizo zimeanza kutafsriwa kwa Kiswahili ili ujumbe wa kishoga uwafikie wote watakaozisoma. Serikali isipokuwa makini kudhibiti uagizaji na uingizaji wa biblia hizo, nchi nzima itatumbukia kwenye ushoga na usagaji; hakuna atakayepona, awe mkristo au muislamu.
Your browser is not able to display this video.
MAONI YANGU
Mara nyingi watu wamekuwa na mtazamo hasi kwamba vitendo vya kishoga vinaanzia uarabuni kumbe sasa kila mtu anaona kuwa vitendo hivi havina mipaka na kwamba vinaweza kutokea mahali popote, iwe Magharibi au Mashariki.
Kwa kweli kama alivyosema Mwakyembe, ni vigumu sana ushoga kuingia kupitia kwenye korani kwa kuwa waislamu wana msimamo mkali. Ni rahisi kupitia kwenye biblia kwa kuwa wakristo wamegawanyika sana na wengi wao ni wachumiatumbo. Wapo tayari kuuza utu wao kwa kipande cha fedha kama Yuda alivyomuuza Yesu. Mambo kama haya huwezi kuyaona kwa waislamu. Wakrito kuna mahali wanakwama sio bure.
Shida wakiachiwa wanataka kuambukiza wengine, hawa mbona wapo tokea muda tu na walikua wanaendelea na mambo yao hakuna mtu anakua na muda nao , shida kwa sasa haya mambo wanayalazimisha kabisa na wanaweka pesa nyingi huko kulazimisha hayo mambo yaonekane ni ya kawaida kwenye jamii na target kubwa ni watoto sio watu wazima wanaojielewa
Ushoga ni jambo linalotakiwa kufanyiwa kazi na makanisa, misikiti na mahekalu.
Serikali inatakiwa ijikite kufanya mambo ya maendeleo na ulinzi wa nchi.