Biblia zenye maudhui ya Ushoga zadaiwa kuingia nchini

Kwanini msiwavizie wakati wanakulana mchome moto nyumba wafie ndani? Mbona mnawalea hivyo? Mkendelea kuwachekea wataambukixa kijiji kizima
 
Mkristo anajua wapi pa kupata Biblia pindi atakapozihitaji. Mkristo anajua Kanisa lake ni lipi.
Serikali mdiyo inatengeneza loophole ya matatizo yote hayo, sababu serikali ndiyo kinara wa kuchongesha utitiri wa ‘manabii, wachungaji, Maaskofu, mitume’ n.k wengi wao ni watu wa “System” wamechongwa ili kuugawa na kuudhoofisha Ukristo, ili serikali iweze kutawala kiulaini.
‘Makanisa’ ya maaskofu,, mitume, manabii si wanachama wa Jumuiya ya Kikristi mchini ila wamesajiliwa na serikali. Sasa hapo mnataka Ukristo uganye nini?

So, anayeharibu jamii ni serikali, hao wanaoyaingiza hayo maandiko wanatumia fursa ya serikali kutaka kuua ukristo.

Wakristo hawawezi kulalamikis hayo maandiko sababu maandiko hayo hayasomwi Makanisani mwao wala kwenye Jumuiya zao, bali yale makanisa ya serikali.
 
Lakini haya mambo ni kuyapotezea tu kwa hali ya sasa ni ngumu kudhibiti usenge.

Mtu akiamua kuwa msenge atajua yeye mwenyewe na maisha yake as long as ashikilii mkundu wako.
Mfano kuna vijana wanavuta bangi na madawa ya kulevya wameweka gogo nje ya nyumba yako kama kijiwe na dada wa kazi ndani ameshakujulisha kuwa watoto wako wa kiume ambao ndio wanaingia umri wa balehe wanatabia ya kushinda pale kijiweni na wale wavuta bangi.

Je wewe kama mzazi utapotezea au utachukua hatua? [emoji848]

Ukiwa unakomenti kwenye jambo lolote usiongee as if wewe upo sayari ya Pluto huko kwamba kinachotokea duniani hakitakufikia wewe.

Utajiskiaje siku unakuta mtoto wako wa kiume, mpwa wako wa kiume, ameshika hiyo Bible ya ushoga anaisoma kwa usiri chumbani? [emoji848]
Utapotezea?

Kama unajua haya yatakuuma then tambua ndio sababu kubwa ya sisi kama wanajamii kukemea hapa na kujidhatiti kwa kutafuta mbinu za kukabiriana na uvamizi huu wa kijamii.
 
Serikali inashindwa nini kutokomeza ujinga wa ushoga?
Wamejifunga na kusaini "declaration of human rights" sababu mule ndipo sheria ya ruhusa ya kuwapa uhuru watu wanaoshiriki mapenzi ya jinsia moja kufanya mambo yao hadharani ilipo.

Unapo tia saini mkataba wa haki za binadamu kama mojawapo ya masharti ya kupewa hii misaada ya kitapeli na mataifa ya magharibi then unakuwa tayari umeitia najisi inchi yako na kuifungua kwa wale mashetani wa magharibi kuja kukuharibia watoto wako na kizazi kijacho kwa uhuru.

Serikali ya Tanzania hawana jeuri ya kukemea wala kuchukua hatua sababu wanaogopa na kuhofia kuwa sanctioned au kuletewa zengwe za kutolewa madarakani.

Viongozi wa Tanzania serikalini especially CCM to be specific, wamechagua kupiga goti na kumsujudia shetani na kumkana MUNGU kwa shinikizo la sheria za kibabe za magharibi ili tu kutetea ugali wao na uhakika wa kimamlaka maana hawana mbinu za kuishi nje ya misaada na pesa za kupewa bure bure.

So kama wanajamii mnategemea sapoti kutoka serikalini hiyo msahau hii ni vita yetu sisi raia na wanajamii. Tusipopambana hakuna atakayekuja kutupambania.

Sehemu za kuzingatia ni eneo la Ndoa kutetereka, Single mothers, feminists na Feminism kwa ujumla,humo ndipo "hub" au niseme incubator ya ushoga ilipo. Tukitaka kuzima moto tunatakiwa kulenga kiini cha moto. Tukitaka kuzima ushoga tumalizane na feminism, Single mothers, then tuendelee na kuimarisha mfumo dume ambao utazingatia principle zenyewe zile za patriarchy, mwanamke akae nafasi yake, dini zishike nafasi yake kisawa sawa na tupambane na mifumo ya kiuchumi ili mwanamke asiteswe na ugumu wa Maisha atulie nyumbani kulea watoto wake na baba aweze lea familia yake bila shida.

Tuanzie hapo.
 
Kwaiyo mtu akiamua kuvuta bangi au madawa ya kulevya tumwache tu

Ushoga ni kinyume cha tamaduni zetu na maadili
Hatuwezi kuishi bila kuheshimu maadili
Unaweza kuta unabishana na jitu linakula mashoga na wanawake nyuma. Maana ni ajabu sana ukute watu wanaponda ushoga halafu mtu anakuja kutetea.
 
Ushoga ni Tabia sio Bible wala promo, Huko Marekani kwenyewe mashoga ni % ndogo sana ya pupulation
 
Kosa linalotokea kwasasa ni watu kujificha kwenye kichaka cha aibu. Utasikia "hili halituhusu sisi waislam ni lenu wakristo".

Hivi watu wanapay attention kweli. Tatizo lipo kwenye taifa tayari wao wanasema hili ni lenu pekee yenu. Utadhani yeye anaishi sayari nyingine.
 
Achana nae huyo hata hajielewi.
 
Inasikitisha sana kuona baadhi ta majitu yanashabikia vitendo vya kishoga na usagaji na kuvichukulia kwa wepesi. Vitendo hivi ni mtambuka na tunaoswa kuvipiga vita kila siku. Tuache kushabikia ujinga wakuu.
 
dah Wagalatia mumekwisha ndugu zanguni, sasa mtajitetea vipi sasa?
 
Mzee amezungumza kama layman furani anayejaribu kuwa expert pro.

Biblia haiwezi kuwa biblia kama imeweka mambo mengine ambayo hayapo au hayajakubalika na chama cha biblia,hilo litabaki kuwa jarida tu.

Sasa labda tuzungumzie majari yanayotangaza ushoga.
 
Kwani hizo biblia wewe umezisoma na kugundua hazijabadilishwa vifungu? Hebu lete ushahidi wa biblia hapa, acha maneno matupu mkuu.
 
Kwani hizo biblia wewe umezisoma na kugundua hazijabadilishwa vifungu? Hebu lete ushahidi wa biblia hapa, acha maneno matupu mkuu.
Biblia gani zimebadilishwa vifungu??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…