Venus Star
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 26,519
- 78,311
Leo wana JF ninaomba niweze kuelezea kwa kina jamboa ambalo limekuwa likisambazwa miaka na miaka ya kuhusu jina Lucifer.
Lucifer ni neno la Kilatini ambalo ninaandikwa kwa herufi ndogo lucifer likiwa na maana ya the morning star the planet Venus au kwa lugha ya kiswahili Zuhura
Mimi nimejiita Venus Star kutokana na kufahamu ukweli huu.
Tayari katika maandiko hayo tumeona namna ya neno hilo lilvyokuja kuandikwa kwenye Version ya NI. King James huenda walifanya makosa kwa makusudi kabisa kuacha kulitafsiri hilo neno lucifer kutoka kwenye kilatini kuja kwenye kingereza.
Mamajusi waliiona Nyota
Nadharia za Kisayansi na Kihistoria
Mwangaza wa Jupita na Venus (3-2 BC) Mpangilio wa sayari ya Jupiter na Venus katika miaka ya 3-2 BC ulisababisha mwangaza mkali angani ambao unaweza kuwa ulionekana kama nyota maalum.
KARIBUNI TUJADILI KWA KINA MASUALA HAYA YENYE KUFIKIRISHA

Isaiah 14:12 - KJV
How art thou fallen from heaven, O Lucifer, son of the morning! how art thou cut down to the ground, which didst weaken the nations!
Isaiah 14:12 - NIV
_How you have fallen from heaven,
morning star, son of the dawn!
You have been cast down to the earth,
you who once laid low the nations!_
Tayari katika maandiko hayo tumeona namna ya neno hilo lilvyokuja kuandikwa kwenye Version ya NI. King James huenda walifanya makosa kwa makusudi kabisa kuacha kulitafsiri hilo neno lucifer kutoka kwenye kilatini kuja kwenye kingereza.
YESU NDIYE LUCIFER
Tukiendelea kuisoma biblia kwa kina tunaweza kuona kuwa Yesu ndiye ile nyota ya asubuhi LuciferRevelation 22:16
I, Jesus, have sent my angel to give you this testimony for the churches. I am the Root and the Offspring of David, and the bright Morning Star.
Mamajusi waliiona Nyota
Mathayo 2:1-2
Basi, Yesu alipozaliwa katika Bethlehemu ya Uyahudi, siku za Mfalme Herode, tazama, mamajusi kutoka mashariki walifika Yerusalemu, wakasema, Yuko wapi yeye aliyezaliwa, mfalme wa Wayahudi? Kwa maana tuliona nyota yake mashariki, nasi tumekuja kumsujudia.