Huenda ukawa sahihi na ndioa maana yesu akija mara ya pili, na watakaonyakuliwa nawe wataenda kwenye new heaven, na pia kutakuwa na new earth, na new jerusalem.
Hii sasa itaondoa dhambi ilioingia mbinguni ya sasa, (ambayo nadhani ililetwa na Adamu alipoasi)
Nikipata muda huenda nikaja na scriptures za kuusapoti hii hoja yangu.
Ila ukisoma kwenye ufunuo 20 nadhani inaelezea kuhusu ujenzi wa mbingu mpya, etc.
So Yesu yupo kazini, yeye ndio architecture anajenga vyote hivi, (isaya 65:17) na ipo mistari kwenye vitabi vya paulo inayothibitisha haya yote.
Naendelea kusoma comments zingine