Venus Star
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 26,519
- 78,311
- Thread starter
-
- #61
Yesu alikuja kwaajili ya wana wa Israel wanaoabudu Mungu wa Ibrahimu.Huenda ukawa sahihi na ndioa maana yesu akija mara ya pili, na watakaonyakuliwa nawe wataenda kwenye new heaven, na pia kutakuwa na new earth, na new jerusalem.
Hii sasa itaondoa dhambi ilioingia mbinguni ya sasa, (ambayo nadhani ililetwa na Adamu alipoasi)
Nikipata muda huenda nikaja na scriptures za kuusapoti hii hoja yangu.
Ila ukisoma kwenye ufunuo 20 nadhani inaelezea kuhusu ujenzi wa mbingu mpya, etc.
So Yesu yupo kazini, yeye ndio architecture anajenga vyote hivi, (isaya 65:17) na ipo mistari kwenye vitabi vya paulo inayothibitisha haya yote.
Naendelea kusoma comments zingine
Kwahiyo wewe umeanza kuwa muhukumu wa mawazo ya watu wengine?V-Anus star ungekuwa umeisoma biblia yote usingeandika upuuzi mtupu wa kiwango hiki..Pia nimeona LGBTQ wengi wa generation Z ndio wenye ujasiri WA dharau Kama uliotuonyesha hapa..
Hujanielewa na pia hukuelewa mana ya morning star.Ndio maana ukakurupuka kuja kutuonyesha mapungufu yako kwenye huo Uzi WA kihanithi uliouanzisha.Kwahiyo wewe umeanza kuwa muhukumu wa mawazo ya watu wengine?
So hivyo mtumish jifunze zaid alafu acha mzaha mtumish tumepoteza watu wengi kwa sababu ya mizaha mizaha na shetani amekuwa akiutumia mzaha kama silaha yake ya maangamiziYesu alikuja kwaajili ya wana wa Israel wanaoabudu Mungu wa Ibrahimu.