Bichwa Komwe, Black and Beautiful; The Epitome of Beauty

BICHWA KOMWE -

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2022
Posts
9,528
Reaction score
24,071
Kuna watu wanasubiri ufe ndio wakusifie. Hii si haki.

Mimi sisubiri kusifiwa, au sisubiri nife ndio nisifiwe. Najisifia mwenyewe, tena sasa hivi.

Mimi ni binti wa kimanyema, nimezaliwa mkoani Mtwara mnamo mwaka 1982.

Nina sifa zote za mwanamke mzuri. Mimi ni mrefu, shupavu, makebo makubwa na mweusi TIIIII. Hata hivyo sura yangu ni ya baba. Najiamini sana.

Mwaka 2013 niliajiriwa kama askari wa jeshi la akiba. Ndio kazi inayonipatia kipato hadi sasa.

Kuna mtu mmoja jana alikuja mbio mbio ananishauri nijichubue ati ndio nipendwe. Sijui nani alimwambia nahitaji kuwa mweupe ili nipendwe?

Sisi wanawake wenye sura mbaya ndio tunaoongoza kwa mapenzi ya dhati. Tunaangalia moyo zaidi.

Nitoe rai kwa akina mama wote wenye sura za baba zetu, tujikaze na tusonge mbele. Maneno yasiturudishe nyuma.

Tuna sifa zote za kukubaliwa na kupendwa.

Ahsanteni sana. Naomba kuwasilisha.
 
Kuna muda hua unaomba wanaume vinyeo hapa jukwaani, kwa hakika hili hua linanistua nakunipa jaka moyo.

Ila ni ukweli usiopingika kua wew ni Binti mkweche ila mrembo haswa wa kimatumbi mwenye asili ya kimanyema. Uso wa duara mweusi uliofinyangwa vyema kama chungu cha mfinyanzi..Ngozi yako ngumu yakuvutia Ina hakisi uimara wa nyapu yako tamu nyeusi yenye Ute mzito mithiri ya uji wa dengu.

Heko kwako BICHWA KOMWE -
 
Bila shaka askari wa akiba ndio ninyi wenye number plate UT, watu wa vyuma vipya vipya mikweche mwisho PT na MT.

Kama wewe ni mmanyema basi ni beautiful has venyewe wanaita black beauty with spadeless skin.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…