Bidada unakuaje na simu iliyopasukapasuka kioo??

Kumbe unawaambia wenye Tecno [emoji23][emoji23][emoji23] Basi sawa watakuja. [emoji126][emoji126][emoji126][emoji126]
 
Unatakiwa kuwa smart mwili roho hata vitu vyako

Simu zilizopasukapasuka vioo waachie wachimba madini na wagonga mawe

Unapata hela ya jinzi unakosa ya kubadilisha kioo cha hiyo techno yako

Nitarudi
Kwa hiyo mkuu pesa ya kununua nguo akatengenezee simu halafu yeye atembee uchi?
 
mhh ngoja nipite tu na hivi niliiangusha juzi.
 
Unatakiwa kuwa smart mwili roho hata vitu vyako

Simu zilizopasukapasuka vioo waachie wachimba madini na wagonga mawe

Unapata hela ya jinzi unakosa ya kubadilisha kioo cha hiyo techno yako

Nitarudi
Duuuuu
 
Hasa wadada wenye Tecno unakuta simu imepasuka pasuka hatari Afu ukimuuliza anakwambia protector ndo mbovu ila screen ni nzimaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
mtoa mada vp unafanya service bure akina dada wakuletee ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…