Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo mkuu pesa ya kununua nguo akatengenezee simu halafu yeye atembee uchi?Unatakiwa kuwa smart mwili roho hata vitu vyako
Simu zilizopasukapasuka vioo waachie wachimba madini na wagonga mawe
Unapata hela ya jinzi unakosa ya kubadilisha kioo cha hiyo techno yako
Nitarudi
Njoo nikununulie nyingine mpyamhh ngoja nipite tu na hivi niliiangusha juzi.
DuuuuuUnatakiwa kuwa smart mwili roho hata vitu vyako
Simu zilizopasukapasuka vioo waachie wachimba madini na wagonga mawe
Unapata hela ya jinzi unakosa ya kubadilisha kioo cha hiyo techno yako
Nitarudi