Slim5 JF-Expert Member Joined Jan 7, 2014 Posts 28,203 Reaction score 37,906 Sep 26, 2018 #21 Zinduna Zindune said: Kwemajamani Click to expand... Kwema. Nataka kwenda Kariakoo! Nipande gari za wapi?
Zinduna Zindune said: Kwemajamani Click to expand... Kwema. Nataka kwenda Kariakoo! Nipande gari za wapi?
Bradha JF-Expert Member Joined Dec 18, 2017 Posts 8,787 Reaction score 45,257 Sep 26, 2018 #22 Nokia83 said: Simu ni uwezo wa mtu jamani Click to expand... Archduke said: huku ni kupangiana namna ya kuishi sasa usifike huko mkuu Click to expand... Naunga mkono hoja. Shida iko wapi kama anaweza kufanya mawasiliano?Thread kama hizi ndio zitawafanya baadhi ya watu wauze utu ili kuwa na mali(simu n.k). Huenda huyo anayeonekana na simu ya hivyo anauwezo au amejijenga vizuri kuliko wenye simu nzuri.
Nokia83 said: Simu ni uwezo wa mtu jamani Click to expand... Archduke said: huku ni kupangiana namna ya kuishi sasa usifike huko mkuu Click to expand... Naunga mkono hoja. Shida iko wapi kama anaweza kufanya mawasiliano?Thread kama hizi ndio zitawafanya baadhi ya watu wauze utu ili kuwa na mali(simu n.k). Huenda huyo anayeonekana na simu ya hivyo anauwezo au amejijenga vizuri kuliko wenye simu nzuri.
Don Clericuzio JF-Expert Member Joined Dec 8, 2017 Posts 16,930 Reaction score 40,556 Sep 26, 2018 #23 fundi bishoo said: Npo kwny daladala ya makumbusho pemben yangu kuna dada ana cmu imepasuka pasuka nliv0ona huu uzi nmejikuta nacheka kama mkulimaakachekasana Click to expand... miminimkulimaakachekasana
fundi bishoo said: Npo kwny daladala ya makumbusho pemben yangu kuna dada ana cmu imepasuka pasuka nliv0ona huu uzi nmejikuta nacheka kama mkulimaakachekasana Click to expand... miminimkulimaakachekasana
Loftins JF-Expert Member Joined Oct 1, 2017 Posts 10,485 Reaction score 13,693 Sep 26, 2018 #24 Uliza wamepataje hizo simu ucheke yani unakuta kahongwa na hana alternative ya kupata nyingine au kadunduriza kwenye vicoba
Uliza wamepataje hizo simu ucheke yani unakuta kahongwa na hana alternative ya kupata nyingine au kadunduriza kwenye vicoba