Bidada unakuaje na simu iliyopasukapasuka kioo??

Bidada unakuaje na simu iliyopasukapasuka kioo??

Simu ni uwezo wa mtu jamani
huku ni kupangiana namna ya kuishi sasa

usifike huko mkuu

Naunga mkono hoja.

Shida iko wapi kama anaweza kufanya mawasiliano?Thread kama hizi ndio zitawafanya baadhi ya watu wauze utu ili kuwa na mali(simu n.k).

Huenda huyo anayeonekana na simu ya hivyo anauwezo au amejijenga vizuri kuliko wenye simu nzuri.
 
Uliza wamepataje hizo simu ucheke yani unakuta kahongwa na hana alternative ya kupata nyingine au kadunduriza kwenye vicoba
 
Back
Top Bottom