Biden alalamika kuwa uchumi wa Marekani unamilikiwa na Urusi, China na Waarabu wa Mafuta

Wanalekea kwenye recessions naona wanatafuta mbuzi wa kafara. Uchumi wa Us uko hoi
Na sleepy joe anatafuta vizisingizo.....haitapita miaka 2 kabla hali haijaanza kuwa mbaya
 
Anguko la super power USA limetabiriwa kwenye Biblia. Ndio majira yake haya. Tuko mwisho wa nyakati, mtakatifu na azidi kutakaswa, na mchafu azidi kujichafua.


YESU KRISTO NI BWANA NA MWOKOZI
 
hii ! Ebu subiri Kwanza niegemee mahali nisome tena.
Biden kasema wamefanyaje fanyaje ?
 
Mkuu unatamani sana siku moja kabla hujaondoka hapa duniani ushuhudie Marekani ikiikopa fedha Tanzania.
 
Hayasadifu vipi? Wewe huoni uchumi wa dunia umetikisika kwa kumuwekea Russia sanctions? Kama yeye ni supa pawa akave basi hayo mapungufu yaliyotokea
[emoji28][emoji28][emoji28]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…