Biden alalamika kuwa uchumi wa Marekani unamilikiwa na Urusi, China na Waarabu wa Mafuta

Biden alalamika kuwa uchumi wa Marekani unamilikiwa na Urusi, China na Waarabu wa Mafuta

"The problem is Republicans in Congress are doing everything they can to stop my plans to bring down costs on ordinary families. That's why my plan is not finished and why the results aren't finished either," Biden said

The President continued, "Jobs are back but prices are still too high. Covid is down but gas prices are up. Our work isn't done. But here's the deal: America still has a choice to make. A choice between a government by the few -- for the few -- or a government for all of us. Democracy for all of us. An economy where all of us have a fair shot and a chance to earn our place in the economy."
 
Bora bangi ihalalishwe tu tujue moja, inamaana yeye hajui anachoagiza kuhusu Russia?. Mpaka kwenye maagizo yake akasema Putin aondolewe kwenye utawala
 
Mboga hailiwi bali hukombwa, na kamwe mboga bila ugali haijawahi kumshibisha Mtu.
Inategemea na mboga gani unazungumzia, tatizo unakula ugali na mchuzi wa nyama mbili. Tatizo ushazoea kula kwa mama ntilie.

Hata kuku mzima au nyama choma ni mboga, ila hata chuzi ukiliweka viazi vya kutosha na nyama za kujazia mbona unashiba. Waambie wamarekani watulie kama wananyolewa, maana unaanzisha ugomvi huku unalia lia 😛
 
Aaaaahaa wewe,acha izo.
Inategemewa na aina ya mboga.
Matembele bila ugali hayanogi mwanangu.
Hahaha sasa hujui tembele ni sukuma wiki au ? Ile sio mboga ya kula binadamu njaa tu mshikaji wangu. Ila kweli tembele bila ugali halinogi. .
 
Kwa hiyo kama Urusi ni tajiri inakusaidia nini,au kuna mgao wa fedha huwa wanakipa?
Uongo na propaganda hua vina mwisho.
Kuidanganya Dunia kua Urusi ni masikini,china ni masikini.sasa ukweli umeanza kuchomoza..
Ulishaona wapi nchi masikini kama zimbabwe ikaushikikia uchumi wa nchi kubwa kama Marekani?
Uchumi wa nchi tajiri kama Marekani unashikiliwa na nchi tajiri mwenzie.
 
Uchumi wa marekan kweli Kama waarabu wanakua wamoja na kuungana waweke vikwazo vya mafuta Marekani anakua hana lolote
Hiyo itawezekana kweli? Tukubali. Lakini watauza mafuta yao wapi kwa sababu chumi zao zimejikita zaidi katika kuuza mafuta na gesi asilia. Na Marekani likiwa soko kubwa. Pengine soko la uchina litawaokoa. Tukumbuke soko la uchina ndilo vile vile tegemeo kuu la Urusi kama vikwazo vitaendelea.
 
Back
Top Bottom