Biden alalamika kuwa uchumi wa Marekani unamilikiwa na Urusi, China na Waarabu wa Mafuta



Kwa tatizo la inflation walilotengeneza ikifika mwezi wa 10 baridi likianza kuchanganya nchi za Europe karibu wote wataomba yaishe na Russia.
 
Maumivu yakizidi onana na Daktari
Simple minds discuss about people, average mind discuss about events,advanced minds discuss about new ideas and how to solve life problems,sasa wewe Gfunk jipime unaangukia kundi gani.
 
Rubbish ,yaan Russia angeshika uchumi wa marekani mda mrefu asingechelewa kumwekea vikwazo,akili yako iko kwenye makalio hivi hata hujiuliz anayetoa vikwazo ndiiye kashika uchumi au anayewekewa vikwazo?Warusi wa jamii furum nenden shule mnatusibisha na ekimu zenu za madrasa
 
Harafu unakutana n nyumbu kadhaa wanakwambia Samia ameuza Bandari kisa uwekezaji.

Kwa taarifa Yao tuu Mwarabu ndio ana pesa Kwa Sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…