Mzee imekuwa taabu sana hata kuongea maneno matano bila kuandaliwa cha kuongea.
Mzee ana tatizo kubwa sana kwenye akili ni marakadhaa anasau sehemu ya kwenda akimaliza kusoma speech.
Mwili umeisha nguvu, kujikwaa kwaa imekuwa kawaida
Hawezi kujibu maswali ya press, shughuli zoye hizo zimehamishiwa kwa mtu mwengine msemaji wa white house.
Biden anabebwa sana na media ila kiutendaji ni sifuri, hivi sasa nchi imevamiwa na maharamia wasio na vibali zaidi ya milioni 6 na Biden kaacha mipaka wazi, Texas wamejaribu kuzuia maharamia yeye anataka kupeleka jeshi kukabiliana na Texas, Ni wazi kwamba itakuwa anakula dili na wanaosafirisha maharamia na hii ni biashara haramu ya human trafficking