Biden anasema kuna uwezekano wa "wanajeshi wa Marekani kupigana na wanajeshi wa Urusi"

Biden anasema kuna uwezekano wa "wanajeshi wa Marekani kupigana na wanajeshi wa Urusi"

Wanaukumbi.

🇺🇸 BIDEN WARNS: WE HAVE TO FIGHT RUSSIAN TROOPS IF UKRAINE FALLS

In what appears to be a form of blackmailing to an entire nation, Biden ties the confrontation with Russian troops directly to the withholding of aid to Ukraine

"Congress have to pass aid for Ukraine"

"If Putin attacks a NATO ally, we will fight Russia"

"American troops fight Russian troops"
===============
🇺🇸 BIDEN AONYA: TUNATAKIWA KUPIGANA NA ASKARI WA URUSI IWAPO UKRAINE ITAANGUKA.

Katika kile kinachoonekana kama aina ya kudhulumu taifa zima, Biden anafungamanisha makabiliano na wanajeshi wa Urusi moja kwa moja na kunyimwa msaada kwa Ukraine.

"Congress inapaswa kupitisha msaada kwa Ukraine"

"Ikiwa Putin atashambulia mshirika wa NATO, tutapigana na Urusi"

"Wanajeshi wa Amerika wanapigana na askari wa Urusi"


View: https://youtu.be/_iZv5ursdYg?si=KPEIbHNy_UiYwspq

Hao wakawaonee wanawake na watoto tu Ghaza, vita ya kuagizia kwa mbali na mrusi ataagizia.

Hawana lolote, Ukraine wameshashindwa.
 
Vita sio suluhisho ni Ujinga.

AMANI KWANZA

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
Putin alikua UAE na ameenda Saudi Arabia,wakamkamate sasa,

Putin ndio mwamba so far,

Kazi iendelee.
 
Wanajeshi wake watakung'utwa pia wala asijisumbue katika hilo 😂! Kitakachofuata ni Biden kupigana na Putin sasa ili kumaliza utata 😂
This is from jihadist point of view that should not necessarily reflect the reality on the ground.
 
Hao wote kiboko yao Taliban, kishamchapa Mrusi mpaka kakimbia.

Akamchapa Mmarekani mpaka kakimbia.

Na huko zamani alishamchapa Muingereza mpaka kakimbia.

Afghanistan juu zaidi.

Na Taliban lazima waingie kisiri Palestina.
 
Nadhani hapa watu hawajaielewa statement ya Biden. Alikuwa analiambia bunge la America kuwa wasipoidhinisha budget kwa ajili ya kumsaidia Ukraine basi Russia anaweza kushinda na asiishie Ukraine bali ataishambulia nchi ambayo ni mwanachama wa Nato na kupelekea majeshi ya America kupigana moja kwa moja na majeshi ya Russia kitu ambacho kitapelekea hasara kubwa kwa dunia
Kwahiyo wataendelea kuidhinisha budget mpaka lini? Nadhani msaada wa vifaa na fedha umeshindwa ku workout huko Ukraine kwa sasa kinachoweza kusaidia kushinda vita labda majeshi ya NATO yaingie front kama wataweza .ila kwa hali ilivyo sasa tunahesabu tayari Putin kawapiga kidole cha Kati NATO na zelensky
 
Kwahiyo wataendelea kuidhinisha budget mpaka lini? Nadhani msaada wa vifaa na fedha umeshindwa ku workout huko Ukraine kwa sasa kinachoweza kusaidia kushinda vita labda majeshi ya NATO yaingie front kama wataweza .ila kwa hali ilivyo sasa tunahesabu tayari Putin kawapiga kidole cha Kati NATO na zelensky
Tatizo lao wanatoa misaada halafu pesa unaenda kwenye makampuni ya silaha ya USA. Makampuni hayo yana silaha mediocre lakini overpriced. Wanatoa drones za maelfu ya dola wakati wenzao Urusi wananunua drones kutoka Iran zikiwa na engine ya pikipiki. Kombora tu la kimarekani la kuangushia hiyo drone ni mara kumi ya bei ya drone yenyewe.
 
Back
Top Bottom