Biden anasema kuna uwezekano wa "wanajeshi wa Marekani kupigana na wanajeshi wa Urusi"

Hao wakawaonee wanawake na watoto tu Ghaza, vita ya kuagizia kwa mbali na mrusi ataagizia.

Hawana lolote, Ukraine wameshashindwa.
 
Vita sio suluhisho ni Ujinga.

AMANI KWANZA

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
Putin alikua UAE na ameenda Saudi Arabia,wakamkamate sasa,

Putin ndio mwamba so far,

Kazi iendelee.
 
Wanajeshi wake watakung'utwa pia wala asijisumbue katika hilo ๐Ÿ˜‚! Kitakachofuata ni Biden kupigana na Putin sasa ili kumaliza utata ๐Ÿ˜‚
This is from jihadist point of view that should not necessarily reflect the reality on the ground.
 
Hao wote kiboko yao Taliban, kishamchapa Mrusi mpaka kakimbia.

Akamchapa Mmarekani mpaka kakimbia.

Na huko zamani alishamchapa Muingereza mpaka kakimbia.

Afghanistan juu zaidi.

Na Taliban lazima waingie kisiri Palestina.
 
Kwahiyo wataendelea kuidhinisha budget mpaka lini? Nadhani msaada wa vifaa na fedha umeshindwa ku workout huko Ukraine kwa sasa kinachoweza kusaidia kushinda vita labda majeshi ya NATO yaingie front kama wataweza .ila kwa hali ilivyo sasa tunahesabu tayari Putin kawapiga kidole cha Kati NATO na zelensky
 
Tatizo lao wanatoa misaada halafu pesa unaenda kwenye makampuni ya silaha ya USA. Makampuni hayo yana silaha mediocre lakini overpriced. Wanatoa drones za maelfu ya dola wakati wenzao Urusi wananunua drones kutoka Iran zikiwa na engine ya pikipiki. Kombora tu la kimarekani la kuangushia hiyo drone ni mara kumi ya bei ya drone yenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ