Biden asaini Finland na Sweden kujiunga NATO, Putin aendelee kupuuzwa

Biden asaini Finland na Sweden kujiunga NATO, Putin aendelee kupuuzwa

Wapumbafu finland halafu huyu mzee Biden mwisho wake mbaya sana,
Kwa Mara ya kwanza Raisi wa marekani ana msumbua raisi wake aliyemtangulia Trump
62f211a085f54030b9127085.jpg
 
Ulaya inajipalia makaa yenyewe nchi nyingi za ulaya zinaona Urusi kama adui kwao Ila siyoo ilivyoo nilitegemea nchi za ulaya baada ya kuona madhara ya vita zote mbili itapata funzo kubwa na kutaka kuviweka vita mbali na nchi zao na labda wangevipeleka nchi za Asia ili nawo waipate chungu na wafaidike na vita kama Marekani alivyofanya kwao la hapana Leo vita vikizuka nchi jirani na urusi zitapata maafa makubwa sana na ulaya nzima itazizima urusi inabahati sana mara nyingi vita vyao kubwa walivyopigana walipata madhara Ila ushindi walipata na wakubwa wotee wanaitamani sana Ile nchi Ila zote zilishindwa kulimiliki ata robo yake ngoja tuone mbeleni itakavyokuwa Ila huruma ni nchi za ulaya
 
Yaani wenyewe wazungu wasijionee huruma afu wewe mmatumbi ndo uwaonee huruma[emoji2][emoji2][emoji2]
 
Pamoja ni kufunga njia jemedari jasusi Putin Nguri anasonga mbele
main-qimg-eb84d6048bf255dd0b49652944fd8b01-pjlq.jpg
 
Chuma Putin lazima akawatwange Makombora hao kina Finland na ndugu zake. Ujue Putin ndo mwenye nyuklia Peke yake dunia nzima.
Uliwahi kumsikia Saddam Hussein?Alipambwa hivyohivyo na vizabizabina wenzie.Aliminywa polepole,akaishiwa pumzi hadi kuamua kwa hiyari yake ahame ikulu na kuanza kuishi kwenye mashimo kama panya.Mwishowe alizawadiwa kifo ambacho ukiwa kwa mbali ungedhani anapaa kuelekea mbinguni.
 
Lengo la NATO kuelekea Mashariki ni kuifikia RUSSIA kwa ukaribu, kipindi USSR inaishia Germany wale wa West hasa Marekani hakupenda maana aliona Russia ataweza kumpiga tokea popote pale, Hivo basi baada ya kuanguka USSR mshauri mmoja wapo wa kijasusi aliwaambua USA ili uweze kumkabili Russia inakupasa umfate kwa njia yoyote ile! Iwe kijeshi au kisiasa ata ikibidi kununua viongozi waliopo madarakan na nchi jiran na Russia ili wajiunge na USA.

Kwaiyo kinachofanyika sasa ni kutekeleza ushauri tu waliopewa japo wengine walishasema kuwa NATO kujitanua upande wa Russia kutakuka kuleta maafa huko mbele na ndiyo hicho kinatokea Ukraine sasa.

USA anafanya hivi kuyafuata mataifa yenzake hasimu kule ASIA, na ndiyo maana unaona ata Taiwan inaelekea huko sio kwa bahati mbaya lah! Ila tu kumdhibiti China kupitia Taiwan, kumdhibiti Russia kupitia nchi jiran nayeye! Leo hii USA kaitoa sadaka Ukraine na malengo yake unayajua? Anataka Russia adhoofike ni kijeshi! Unahisi atafaidika vipi?

Mwisho wa siku tuseme tamaa za Mmarekanj kutaka kuitawala Dunia ndizi zitapelekea Dunia kuwa sehemu ya hatari
umeandika mengi ila naeza ziita pumba sabab huez waonea watu utegemee waendelee kukuchekea kisa upande fulanj hawaruhusiw kupata washirika waliopo karibu yako , so mlaumu Urusi kutumia mikabata hiyo kuwaonea majirani zake , MMAREKAN hajawai kuivamia nchi kuilazimisha kujiunga na NATO
 
utaheshikaj kama hujiheshimu wala huwaheshimu wengine ? USA anajiheshim na anafocus kweny diplomas kwanz then ndo miguvu ila Urusi wana option moja tu miguvu
Haheshimu watu huyo mshenzi, yani heshima.ya USA ni hadi awe anakutia tia vidole. Ukiwa imara hawezi kukuheshimu hata siku moja atakuwa anakutafuta ubaya tu kama mwanamke wa kizaramo
 
umeandika mengi ila naeza ziita pumba sabab huez waonea watu utegemee waendelee kukuchekea kisa upande fulanj hawaruhusiw kupata washirika waliopo karibu yako , so mlaumu Urusi kutumia mikabata hiyo kuwaonea majirani zake , MMAREKAN hajawai kuivamia nchi kuilazimisha kujiunga na NATO
Unaweza kuliona pumba kwasababu limeegemea upande wako! Ila siku watu wakitaka kuanza kuweka Nuclear karibu na USA ndo utakuja kushadadia kuwa sio vizuri na kila taifa lina haki ya kujikinga dhidi ya maadui zake
 
Back
Top Bottom