Biden asaini Finland na Sweden kujiunga NATO, Putin aendelee kupuuzwa

Wapumbafu finland halafu huyu mzee Biden mwisho wake mbaya sana,
Kwa Mara ya kwanza Raisi wa marekani ana msumbua raisi wake aliyemtangulia Trump
 
Ulaya inajipalia makaa yenyewe nchi nyingi za ulaya zinaona Urusi kama adui kwao Ila siyoo ilivyoo nilitegemea nchi za ulaya baada ya kuona madhara ya vita zote mbili itapata funzo kubwa na kutaka kuviweka vita mbali na nchi zao na labda wangevipeleka nchi za Asia ili nawo waipate chungu na wafaidike na vita kama Marekani alivyofanya kwao la hapana Leo vita vikizuka nchi jirani na urusi zitapata maafa makubwa sana na ulaya nzima itazizima urusi inabahati sana mara nyingi vita vyao kubwa walivyopigana walipata madhara Ila ushindi walipata na wakubwa wotee wanaitamani sana Ile nchi Ila zote zilishindwa kulimiliki ata robo yake ngoja tuone mbeleni itakavyokuwa Ila huruma ni nchi za ulaya
 
Yaani wenyewe wazungu wasijionee huruma afu wewe mmatumbi ndo uwaonee huruma[emoji2][emoji2][emoji2]
 
Pamoja ni kufunga njia jemedari jasusi Putin Nguri anasonga mbele
 
Chuma Putin lazima akawatwange Makombora hao kina Finland na ndugu zake. Ujue Putin ndo mwenye nyuklia Peke yake dunia nzima.
Uliwahi kumsikia Saddam Hussein?Alipambwa hivyohivyo na vizabizabina wenzie.Aliminywa polepole,akaishiwa pumzi hadi kuamua kwa hiyari yake ahame ikulu na kuanza kuishi kwenye mashimo kama panya.Mwishowe alizawadiwa kifo ambacho ukiwa kwa mbali ungedhani anapaa kuelekea mbinguni.
 
umeandika mengi ila naeza ziita pumba sabab huez waonea watu utegemee waendelee kukuchekea kisa upande fulanj hawaruhusiw kupata washirika waliopo karibu yako , so mlaumu Urusi kutumia mikabata hiyo kuwaonea majirani zake , MMAREKAN hajawai kuivamia nchi kuilazimisha kujiunga na NATO
 
Utatumia diplomasia kwa mtu ambaye analeta dharau na majibu ya shombo?
utaheshikaj kama hujiheshimu wala huwaheshimu wengine ? USA anajiheshim na anafocus kweny diplomas kwanz then ndo miguvu ila Urusi wana option moja tu miguvu
 
utaheshikaj kama hujiheshimu wala huwaheshimu wengine ? USA anajiheshim na anafocus kweny diplomas kwanz then ndo miguvu ila Urusi wana option moja tu miguvu
Haheshimu watu huyo mshenzi, yani heshima.ya USA ni hadi awe anakutia tia vidole. Ukiwa imara hawezi kukuheshimu hata siku moja atakuwa anakutafuta ubaya tu kama mwanamke wa kizaramo
 
Unaweza kuliona pumba kwasababu limeegemea upande wako! Ila siku watu wakitaka kuanza kuweka Nuclear karibu na USA ndo utakuja kushadadia kuwa sio vizuri na kila taifa lina haki ya kujikinga dhidi ya maadui zake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…