Biden asema yeye ni Mzayuni, hivyo mnalo enyi mnaotaka kuua Wayahudi wote

Biden asema yeye ni Mzayuni, hivyo mnalo enyi mnaotaka kuua Wayahudi wote

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Mpaka muifute jamii ya Wayahudi mbona shughuli...temaneni na hayo mawazo muishi nao kwa amani, hayo maagizo ya kwenye vitabu vyenu vya kidini kwamba muue Wayahudi wote yanawachoganisha tu na mnaishia kufa wenyewe, wale Mungu wao ni mkuu kuliko wa kwenu na aliwaokoa tangu enzi za manabii akina Elija, Daudi na kadhalika, hawa hawafutiki......

‘I am a Zionist,’ says US president at White House Hanukkah reception, adds if Israel didn’t exist, no Jewish person would be safe * Cargo vessel said attacked in Red Sea
US President Joe Biden departs after attending a Hanukkah reception in the East Room of the White House in Washington, Monday, Dec. 11, 2023. (AP/Jacquelyn Martin, Pool)
US President Joe Biden departs after attending a Hanukkah reception in the East Room of the White House in Washington, Monday, Dec. 1

 
Waumini wa allah wanalo. Waumini wa Yehova wanafurahi maana YWHW hajawahi kuwaacha watu wake, tofauti na mungu wa wafilisti mungu dagoni.
 
'Makobaz' mmesikia hili!
Kumbukeni pia kuwa uchumi wa USA unaongozwa na Zionist men na sio vinginevyo!
 
mwarab anapelekewa moto na vibinti vidogo vidogo kabisa yaani sijui hawa jamaa wapojee dah...wanapkwa mafuta na myahudi palee maze
FB_IMG_1702212636768.jpg
 
Vitani lazima watu wafe na hata mfalme Sauli alikufa vitani hivyo hamna cha ajabu na ndio maana hata wapalestina wameshakufa maelfu kwa maelfu kutokana na uchokozi wao.
 
Anglia BIDEN anavyoeneza campaign za ushoga etc na uharibifu mwingi...ndipo utajua the impact of Zionist in this world...and why kuna watu waliliona hili miongo mingi liliyopita
 
Back
Top Bottom