Biden awaomba majeshi ya Hamas yakubali pendekezo la Isreal

Biden awaomba majeshi ya Hamas yakubali pendekezo la Isreal

Malaria 2

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2023
Posts
6,846
Reaction score
10,288
Ukisoma BBC Swahili web page yao imeandika kwamba Biden amewaomba Hamas wakubali pendekezo la kusimamisha vita lilotolewa na Isreal.

Rais wa Marekani Joe Biden amewataka Hamas kukubali pendekezo jipya la Israel la kumaliza mzozo wa Gaza, akisema kuwa "ni wakati wa vita hivi kumalizika".

Pendekezo hilo la sehemu tatu litaanza kwa kusitishwa kwa mapigano kwa muda wa wiki sita ambapo Jeshi la Ulinzi la Israel (IDF) litajiondoa katika maeneo yenye wakazi wengi wa Gaza.

My take: Kumbe licha ya NATO, EU, America na Isreal kutumia silaha za dunia lakini Hamas wapo?
Kama hawapo ngangari sirahisi Marekani kuomba hamas wakubali pendekezo wasimamishe vita
kweli waliosema waliosema vita ni Propganda hawkukosea

Tuone athari ya Propaganda kidogo katika vita

Propaganda is a powerful tool often used during wars, and its impact is especially significant in Western countries. Through various media channels, governments and interest groups can shape public opinion, control narratives, and influence the perception of conflicts. In Western societies
  • Methods:
    • Media Control: Governments may use state-controlled media to broadcast messages that align with their agendas.
    • Misinformation and Disinformation: Spreading false or misleading information to confuse or mislead the public.
    • Emotional Appeals: Using fear, patriotism, or humanitarian arguments to sway public opinion.
    • Censorship: Suppressing dissenting voices and alternative perspectives.
  • Impact:
    • Propaganda can lead to a unified public stance on war, making it easier for governments to pursue military actions.
    • It can also create a biased or one-sided view of international conflicts, leading to a lack of critical thinking and understanding among the populace.
  • Case Studies:
    • The Iraq War (2003): The US government’s claims about weapons of mass destruction were later found to be unsubstantiated, yet they played a crucial role in garnering public and international support for the invasion.
    • The Cold War: Both the US and the Soviet Union engaged in extensive propaganda campaigns to promote their respective ideologies and vilify the other side.
  • Countermeasures:
    • Promoting media literacy: Educating the public on how to critically evaluate news sources and recognize propaganda.
    • Encouraging independent journalism: Supporting news outlets that are free from governmental or corporate influence.
    • Transparency: Demanding that governments provide clear, factual information about their actions and policies.
 
Rais wa America ameingilia kuwaokoa Israel, kwanza si yeye na Hillary Clinton na kina Blinken na Netanyahu walisema hakuna maongezi na magaidi, hatutakubali Hamasi abaki Gaza 😄

Wamejikuta Hamasi hakuna silaha inayo weza kumshinda wamepeleka silaha kwa mashoga zao mwisho wa mwisho wamejikuta mafala tu.

Israel alikuwa hana uwezo wa kuwashinda Hamasi hata wafanye nini.

Hamasi toka mwanzo kawambia kutushinda sisi ni ndoto ya mchana, huwezi kukomboa matekwa wako bila kukubali haya masharti waondoe majeshi yao Gaza, wawachie wafungwa na Palestine, ili na wao wawachie wafungwa wao, wasimamishe vita, waruhusu chakula kingie na vitu ndani ya Gaza na waijenge Gaza.

Hayo yote walijidai hawayakubali mwanzo sa wamekuja wao eti ndio wame muofa Hamasi 😄

Vichaa hawataki kusema Hamasi katushinda vita, hio Economics ya Israel mpaa ije kurecover itachukua miaka sichini ya 20 nadhani na hata subutu tena kuwashambulia Hamasi kama zamani alivyo kuwa anafanya.
 
Back
Top Bottom