Biden invited 110 Countries - Summit for Democracy, Tanzania mpya haimo!

Demokrasia gani ipo Tanzania, ile ya Wilson Mahera na Jaji Kaijage ambao kabla ya Uchaguzi walienda "kuonana" na Magu Kwanza
Tanzania ni nchi onayotawaliwa kidikteta japo sio wa mtu ni wa Chama.
Walio nje wanatuona mpaka uvunguni.
19 walionunuliwa wabalance bunge haijawasaidia.
 
Actually hongera zaidi Kwa ambao hawajaitwa

Acheni mentality ya watumwa
Ni aheri kuwa mtumwa wa ustaarabu kuliko kuwa mt7kwa wa shetani, kama tulivyo sisi.

Ngoja watoke na maazimio namna ya kupambana na nchi za kidikteta.
 
Haya mambo yanaonekana ya kawaida,lakini si ya kupuuzwa hata kidogo.Lazima tujiulize vigezo vilivyotumika katika huo mwaliko.
Kama kuna tatizo juu ya demokrasia yetu,yafaa tujue ni tatizo gani na tunatokaje hapo?

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Tanzania iliharibiwa sana kidemokrasia kwa miaka 6 iliyopita, bado wapo kwenye "uangalizi maalum" kama inarudi kwenye njia au bado itaendelea kubaki shimoni
 

Hayo maswali labda ungewauliza ,, wanaofungua nchi “ , …
 
Sisi ni ze dona kantri!!!
 
Kwani Tanzania ni nchi au ni shamba la watu?
Ni nchi kwa jicho lako sio wao!!
 
Tanzania tayari tunademokrasia karibu sawa na Marekani,

Unataka atualike tujafanye nini?

Mwenye Afya hahitaji Tabibu mkuu
Mkuu kumbe Wewe akili sawa na akina Iboya2021, mnajifanya hamnazo au hamnazo kweli. Mi naamini unajitambua ila njaa tu sasa nakushauri ukiona uzi ni mgumu kumeza we kausha tu jifanye hujauona.
 
Tanzania tayari tunademokrasia karibu sawa na Marekani,

Unataka atualike tujafanye nini?

Mwenye Afya hahitaji Tabibu mkuu
Ni kweli mkuu demokrasia yetu imeimarika. Alafu hawa watu hawana dogo! Kama tungealikwa na Mh. Rais Samia akahudhuria pia wangeanza kukosoa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…