MTZ 255Dar
JF-Expert Member
- Sep 25, 2018
- 1,149
- 3,963
Akiongea na Waandishi wa Habari viunga Vya White House,Rais wa Marekani ametamka wazi kwamba Marekani haitaipatia Ukraine Silaha za Masafa Marefu zenye Uwezo wa Kushambulia ndani ya Ardhi ya Urusi.
Kwa mda wa wiki 2 Sasa,Rais wa Ukraine amekuwa akiitaka Marekani Kuipatia nchi yake Silaha za Masafa Marefu ya Mifumo ya Maroketi zenye Uwezo wa Kushambulia ndani ya Ardhi ya Urusi. Pia,Rais wa Ukraine aliongeza kuwa bila Silaha Hizo zenye Uwezo wa Kushambulia Masafa Marefu,Nchi Yake itakaribia kushindwa kuiokoa mini Yake ambayo inaendelea kuzingirwa na Urusi.
Ikumbukwe kuwa,Urusi inatumia Silaha za Masafa Marefu kushambulia Kambi za Ukraine Kabla ya Majeshi ya Ardhini ya Urusi Kuingia. Wataalamu wanadai kuwa,Endapo Ukraine itapewa mfumo huo wa Makombora wa Masafa Marefu,Basi Nguvu za kijeshi Kati ya Urusi na Ukraine katika uwanja wa Kivita hasa upande wa vifaa vya kijeshi utakuwa unakaribia kulingana. Lakini wataalamu wanaonya kuwa,baada ya kupata Silaha Hizo haitaishia kushambulia Majeshi ya Urusi yaliyoko ndani ya Ukraine TU Bali wanaweza kwenda mbali zaidi na kushambulia Ardhi ya Urusi.
Mifumo ya Maroketi ya Masafa Marefu ambayo inaombwa na Ukraine inaitwa Multiple Lunch Rocket System(MLRS). MLRS Ina ya Aina Mbili. Aina ya kwanza Ni Makombora 40 ya Masafa ya kati ndani ya mfumo mmoja yenye Uwezo wa Kushambulia Umbali wa 150Km. MLRS Ina Uwezo wa kurusha Makombora yote 40 ndani ya dakika 2 bila kupumzishwa. Aina ya Pili Ni Kombora moja la Masafa Marefu Maarufu Kama * Army Tactical Missile Cruising System ( ATAMCS)* Lenye Uwezo wa kusafiri umbali wa Mile 300 Sawa na 500Km.
Mpaka Sasa,Nchi za Magharibi zimepeleka nchini Ukraine Silaha za Kujilinda TU na za Masafa Mafupi. Ukraine inaona Kama bila Silaha za Masafa Marefu ambazo Urusi anatumia kuishambulia nchi hiyo,Basi Majeshi yake yatashindwa kukabiliana na Majeshi ya Urusi yenye dhana nzito.
Announcement comes after Moscow warned any supply of long-range weaponry would mark ‘unacceptable escalation’. US will not give Kyiv rocket systems that can reach Russia: Biden