Biden: Marekani haitaipatia Ukraine Mfumo wa Silaha za Maroketi ya Masafa Marefu yenye Uwezo wa Kushambulia ndani ya Urusi

Biden anazuga tu, kitaalamu hawezi kutangaza jambo hilo, kwamfano angalia Biden ndo alikuwa mtuwa mwisho kusema Marekani ndio iliyosaidia kuwaondoa russia Kyiv na mpaka leo russia anaiyona chungu Kyiv putin alipigika vibbaya sana

Subiri tuone
Akili yako na ya mke wangu niliyemwacha hazitofautiani

Sent from my Nokia 4.2 using JamiiForums mobile app
 
Biden anazuga tu, kitaalamu hawezi kutangaza jambo hilo, kwamfano angalia Biden ndo alikuwa mtuwa mwisho kusema Marekani ndio iliyosaidia kuwaondoa russia Kyiv na mpaka leo russia anaiyona chungu Kyiv putin alipigika vibbaya sana

Subiri tuone
Kama anaficha ili kudanganya basi anajidanganya, siku kama yatafanikiwa kutua Moscow ndio siku itajukikana kuwa kawapa Ukraine makombora so Urusi itachukua hatua zaidi ya hapo
 
Sijui kama umeeleweka maana unaambiwa

M270 Multiple Launch Rockets System (MLRS).
SERIKALI ya Marekani ipo kwenye mpango wa kuipatia Ukraine mfumo wa kurusha roketi nyingi za masafa marefu unaojulikana kama M270 Multiple Launch Rockets System (MLRS).

Mfumo huo wa M270 MLRS unaweza kurusha aina mbalimbali za silaha, ukiwa ni wa hali ya juu zaidi unaoweza kulenga shabaha ya umbali wa kilomita 300.

Hata hivyo, mfumo huu pia unaweza kurusha makombora ya masafa mafupi na anuwai ya karibu 70km.

Rais Volodymyr Zelensky na maafisa wengine wa Ukraine wamehimiza kuwasilishwa kwa MLRS kwa lengo kuu la kuisaidia nchi hiyo kukabiliana na mashambulizi makubwa ya Urusi katika eneo la mashariki la Donbas.

Inapatikana:
We source yako ni global publishers?
 
Capture.JPG

Rais Joe Biden wa Marekani amesema hawataitumia Ukraine msaada wa mifumo ya teknolojia ya hali ya juu yenye uwezo wa kurusha roketi hadi Nchini Urusi.

Ametamka hayo baada ya ripoti za hivi karibuni kudai kuwa Marekani ina mpango huo katika kuiwezesha Ukraine kuishinda vita Urusi.

Inadaiwa Ukraine imekuwa katika mchakato wa kuutafuta mfumo huo uitwao MLRS wenye uwezo wa kurusha roketi kadhaa kwa maili nyingi katika wakati mmoja.

Chanzo: Aljazeera

----------------

Biden: US will not send Ukraine rockets that can reach Russia

The United States will not send Ukraine rocket systems that can reach Russia, President Joe Biden said on Monday.

The US president’s comments followed reports that the Biden administration was preparing to send advanced long-range rocket systems to Kyiv for its fight against Russia.

“We’re not going to send to Ukraine rocket systems” that can reach Russia, Biden told reporters after arriving back at the White House on Monday, according to the Reuters news service.

Ukrainian officials have sought a longer-range system called the Multiple Launch Rocket System, or MLRS, that can fire a barrage of rockets hundreds of miles away. It was not clear which system Biden was referring to in his remarks.

CNN and The Washington Post reported on Friday the Biden administration was leaning towards sending the MLRS and another system, the High Mobility Artillery Rocket System, known as HIMARS, as part of a larger military aid package to Ukraine.

The Ukrainian government has urged the West to provide it with more longer-range weapons in order to turn the tide in the war, now in its fourth month. US officials had said such weapons systems are actively being considered.

The US has provided thousands of portable Stinger anti-aircraft and Javelin anti-tank missiles to Ukrainian forces as well as advanced drones and field artillery.

But Russian foreign minister Sergey Lavrov last week cautioned Western powers against supplying Ukraine with weapons capable of hitting Russian territory, warning such a move would be a “serious step towards unacceptable escalation”.

Ukraine’s foreign minister has said the urgency of his country’s need for bigger weapons can be summed up in two abbreviations: MLRS — multiple launch rocket systems, and ASAP — as soon as possible.

Foreign minister Dmytro Kuleba said on May 25 the situation in the eastern Donbas region was “extremely bad”. The rocket systems could help Ukrainian forces try to recapture places such as the southern city of Kherson from Russian occupiers who invaded Ukraine on February 24.
 
Akiongea na Waandishi wa Habari viunga Vya White House,Rais wa Marekani ametamka wazi kwamba Marekani haitaipatia Ukraine Silaha za Masafa Marefu zenye Uwezo wa Kushambulia ndani ya Ardhi ya Urusi.

Kwa mda wa wiki 2 Sasa,Rais wa Ukraine amekuwa akiitaka Marekani Kuipatia nchi yake Silaha za Masafa Marefu ya Mifumo ya Maroketi zenye Uwezo wa Kushambulia ndani ya Ardhi ya Urusi. Pia,Rais wa Ukraine aliongeza kuwa bila Silaha Hizo zenye Uwezo wa Kushambulia Masafa Marefu,Nchi Yake itakaribia kushindwa kuiokoa mini Yake ambayo inaendelea kuzingirwa na Urusi.

Ikumbukwe kuwa,Urusi inatumia Silaha za Masafa Marefu kushambulia Kambi za Ukraine Kabla ya Majeshi ya Ardhini ya Urusi Kuingia. Wataalamu wanadai kuwa,Endapo Ukraine itapewa mfumo huo wa Makombora wa Masafa Marefu,Basi Nguvu za kijeshi Kati ya Urusi na Ukraine katika uwanja wa Kivita hasa upande wa vifaa vya kijeshi utakuwa unakaribia kulingana. Lakini wataalamu wanaonya kuwa,baada ya kupata Silaha Hizo haitaishia kushambulia Majeshi ya Urusi yaliyoko ndani ya Ukraine TU Bali wanaweza kwenda mbali zaidi na kushambulia Ardhi ya Urusi.

Mifumo ya Maroketi ya Masafa Marefu ambayo inaombwa na Ukraine inaitwa Multiple Lunch Rocket System(MLRS). MLRS Ina ya Aina Mbili. Aina ya kwanza Ni Makombora 40 ya Masafa ya kati ndani ya mfumo mmoja yenye Uwezo wa Kushambulia Umbali wa 150Km. MLRS Ina Uwezo wa kurusha Makombora yote 40 ndani ya dakika 2 bila kupumzishwa. Aina ya Pili Ni Kombora moja la Masafa Marefu Maarufu Kama * Army Tactical Missile Cruising System ( ATAMCS)* Lenye Uwezo wa kusafiri umbali wa Mile 300 Sawa na 500Km.

Mpaka Sasa,Nchi za Magharibi zimepeleka nchini Ukraine Silaha za Kujilinda TU na za Masafa Mafupi. Ukraine inaona Kama bila Silaha za Masafa Marefu ambazo Urusi anatumia kuishambulia nchi hiyo,Basi Majeshi yake yatashindwa kukabiliana na Majeshi ya Urusi yenye dhana nzito.

Announcement comes after Moscow warned any supply of long-range weaponry would mark ‘unacceptable escalation’. US will not give Kyiv rocket systems that can reach Russia: Biden

Hivi kiufup hizi short range anazosema ndio apewe siku vikos vikiwa mpakan na russia inakuaje kama issue nikutovuka mipaka?
 
Ghana and Uganda are banning the export of grains and other farm produce.

Ghanian government has extended a ban on grain exports. A temporary ban on exporting maize, rice, soybeans and other grains implemented in Sept 2021 has been extended until Sept 2022.

So it continues.
 
Kama anaficha ili kudanganya basi anajidanganya, siku kama yatafanikiwa kutua Moscow ndio siku itajukikana kuwa kawapa Ukraine makombora so Urusi itachukua hatua zaidi ya hapo
Madam biden kakataa russia hataweza ku-revenge mpaka atakapothibitisha zile kauli zinafanyiwa kazi sana marais wa kimataifa wakitamka sio kama huko kwenu
 
Akiongea na Waandishi wa Habari viunga Vya White House,Rais wa Marekani ametamka wazi kwamba Marekani haitaipatia Ukraine Silaha za Masafa Marefu zenye Uwezo wa Kushambulia ndani ya Ardhi ya Urusi.

Kwa mda wa wiki 2 Sasa,Rais wa Ukraine amekuwa akiitaka Marekani Kuipatia nchi yake Silaha za Masafa Marefu ya Mifumo ya Maroketi zenye Uwezo wa Kushambulia ndani ya Ardhi ya Urusi. Pia,Rais wa Ukraine aliongeza kuwa bila Silaha Hizo zenye Uwezo wa Kushambulia Masafa Marefu,Nchi Yake itakaribia kushindwa kuiokoa mini Yake ambayo inaendelea kuzingirwa na Urusi.

Ikumbukwe kuwa,Urusi inatumia Silaha za Masafa Marefu kushambulia Kambi za Ukraine Kabla ya Majeshi ya Ardhini ya Urusi Kuingia. Wataalamu wanadai kuwa,Endapo Ukraine itapewa mfumo huo wa Makombora wa Masafa Marefu,Basi Nguvu za kijeshi Kati ya Urusi na Ukraine katika uwanja wa Kivita hasa upande wa vifaa vya kijeshi utakuwa unakaribia kulingana. Lakini wataalamu wanaonya kuwa,baada ya kupata Silaha Hizo haitaishia kushambulia Majeshi ya Urusi yaliyoko ndani ya Ukraine TU Bali wanaweza kwenda mbali zaidi na kushambulia Ardhi ya Urusi.

Mifumo ya Maroketi ya Masafa Marefu ambayo inaombwa na Ukraine inaitwa Multiple Lunch Rocket System(MLRS). MLRS Ina ya Aina Mbili. Aina ya kwanza Ni Makombora 40 ya Masafa ya kati ndani ya mfumo mmoja yenye Uwezo wa Kushambulia Umbali wa 150Km. MLRS Ina Uwezo wa kurusha Makombora yote 40 ndani ya dakika 2 bila kupumzishwa. Aina ya Pili Ni Kombora moja la Masafa Marefu Maarufu Kama * Army Tactical Missile Cruising System ( ATAMCS)* Lenye Uwezo wa kusafiri umbali wa Mile 300 Sawa na 500Km.

Mpaka Sasa,Nchi za Magharibi zimepeleka nchini Ukraine Silaha za Kujilinda TU na za Masafa Mafupi. Ukraine inaona Kama bila Silaha za Masafa Marefu ambazo Urusi anatumia kuishambulia nchi hiyo,Basi Majeshi yake yatashindwa kukabiliana na Majeshi ya Urusi yenye dhana nzito.

Announcement comes after Moscow warned any supply of long-range weaponry would mark ‘unacceptable escalation’. US will not give Kyiv rocket systems that can reach Russia: Biden
Tuliwaambia ...kama ukraine ikipatiwa hizo silaha hapo vita ya 3 ya dunia itakuwa ime switch ON maana Zelensky anatafuta mbinu ya kuziingiza nchi za NATO kwenye vita. Hapo itakuwa ni vita ya 3 na ili ndiyo litakuwa tegemeo lake la mwisho bwana Zelensky ,hivyo akipatiwa hizo siraha kwa shariti la kutokushambulia urussi lazima yeye atakiuka na kushambulia urusi hapo urusi itaanza kuzishambulia nato rasmi na kuanza kulipua miundo mbinu ya kijeshi na kiuchumi ya nchi za nato
 
Naamini hata kama wangempa makombora hayo haingesaidia kitu,
Kibaya zaidi wangemponza,
Ndio wangemtia hasira Russia
Russia angefanya maangamizi makubwa mno Hadi Dunia ingejuta,
wala bila silaha za nyukilia.
Kitu kinacho wafanya waogope kumpa ni kwamba walitakiwa kumpa ili kujilinda ndani ya nchi yake tu ilo ndiyo shariti ila Zelensky ana hasira sana hivyo lazima atataka kutanua huo mzozo hadi nato hivyo atashambulia ndani ya urusi kwa hsyo makombora , hivyo urussi atalazimika kulipua viwanda na maghara ya hozo siraha kwenye nchi za nato hapo vita vya dunia vitakuwa ON
 
Ukiachana na kifo RUSSIA inaogopwa zaidi na US kuliko kingine!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Nani kakwambia., mambo yote aliyotahadharisha urusi, US wamefanya kwa makusudi ili kama ana ubavu ajaribu, alionya Ukraine asisaidiwe silaha na akigundua basi atashambulia ulaya na marekani lakini marekani wanapeleka na kwa kumjibu kabisa tunapeleka, putini alionya Finland na Sweden wasiombe kujiunga na NATO, Finland wameomba, Urusi alionya Ukraine wasijiunge na umoja wa Ulaya lakini ukrean wameomba mchana kweupe,

Urusi ni mwoga kuliko mdudu yoyote
 
Hao Finland na Sweden wanaingizwa chaka na marekani. Sehemu yoyote mrusi akiamua kupigana vita hakuna nchi yoyote ya nato itakayoingilia huo ugomvi sanasana watakachofanya kama wanavyofanya Ukraine. Hayo mambo ya kupewa silaha za kujilinda yapo enzi na enzi ila silaha nzito za kushambulia haijawahi kutokea na itakapotokea basi kuna uwezekano mkubwa wa kutokea vita ya dunia
 
Waache kelele NATO wakasaidie UKRAINE huko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao Finland na Sweden wanaingizwa chaka na marekani. Sehemu yoyote mrusi akiamua kupigana vita hakuna nchi yoyote ya nato itakayoingilia huo ugomvi sanasana watakachofanya kama wanavyofanya Ukraine. Hayo mambo ya kupewa silaha za kujilinda yapo enzi na enzi ila silaha nzito za kushambulia haijawahi kutokea na itakapotokea basi kuna uwezekano mkubwa wa kutokea vita ya dunia
kumbuka Ukrean si mwanachama wa Nato hadi sasa., ungetolea mfano wa nchi 1 member wa Nato ameguswa halafu NATO hawaku respond vigorously, Finland na Sweden wanajiunga na NATO ili kupata uhakika wa kujilinda, kuna siku Russia anaweza akaamka vibaya akarusha mabomu Finland sasa kujiunga kwao kunaleta heshima ili Putin akijaribu kuigusa Finland ajue anamgusa nani.

Huyo Putin vita ya 3 ya dunia na yeye anaiogopa sana, kwa sababu kama haogopi saivi vita ya Ukraine kuna viashiria vyote yeye anatakiwa aanzishe lakini mbona ameganda? mara anaweka sawa vinu vya nuclear lakini baadae anavirejesha, putin ni mwoga sana si kiongozi anayejiamini kama watu wengi walivyoaminishwa

Vita ya ukraine sasa inaingia mwezi 4 ameshindwa kutangaza nimepata hichi katika mahitajio yangu, unafkiri ataweza vipi kupigana na dunia? Ndio mana Finland na Sweden wamemsoma na kuona Russia ni dhaifu sana tumekuwa tukimuogopa bure wacha twendezetu Nato,
 
Hiyo kusema mwanachama au sio mwanachama ni chaka la kuficha madhaifu. Mbona USA kasema China ikiivamia taiwan ataingilia hiyo vita, kwani taiwan ni memba wa NATO??

Hapo kwenyewe Ukraine anapigana na dunia. Nchi zote za NATO zipo hapo Ukraine na kila siku wanaingiza silaha za kila namnana na kila siku tunasikia Russia ana advance kwa kumega maeneo
 
Mkuu Taiwan sio mwanachama wa Nato lakin elewa technologia ya Taiwan na uchumi wao wote takriban 70% wamesaidiwa na Marekani, Marekani wamepeleka pale wataalamu na wachumi mpaka taiwan ilivyo leo, lakin Taiwan kwa upande ule wa bahari wamepakana na Marekani kuna kambi ya kijesh nadhan wanaita Gamu angalia kwenye raman, hivyo China akichukua Taiwan atahatarisha pia ukaribu na Marekani ndio mana Marekani wataipigania Taiwan.

Hakuna mahali Russia ame advance eneo Ukraine ni propaganda zenu tu., Russia ilivamia Ukraine akaenda kuizunguka Kyiv kilichotokea ndicho kilichomuhamisha Kyiv na kurudi Donbas ambako sasa vita inaendelea., mji wa Khakiv Russia ilitangaza kuuchukua lakini sasa Ukraine wameshachukua wenyewe Russia wamefurushwa hadi mpakani kwao,urusi wamerudishwa walikotoka km40, Miji iliyobaki kama Mouriopol vita inaendelea na watahakikisha hachukui hata inch 1 ardhi ya ukrean mpaka cremea
 
Uwaga sijibizani na watu ambo kwao ubishi ni kipaji. Aljezeela kila siku kwenye news zake wanaonyesha ramani Russia wanavyo advance alafu wewe mmarekani wa tandale unabisha. Huu ni msiba
 
Back
Top Bottom