Akili yako na ya mke wangu niliyemwacha hazitofautianiBiden anazuga tu, kitaalamu hawezi kutangaza jambo hilo, kwamfano angalia Biden ndo alikuwa mtuwa mwisho kusema Marekani ndio iliyosaidia kuwaondoa russia Kyiv na mpaka leo russia anaiyona chungu Kyiv putin alipigika vibbaya sana
Subiri tuone
Kama anaficha ili kudanganya basi anajidanganya, siku kama yatafanikiwa kutua Moscow ndio siku itajukikana kuwa kawapa Ukraine makombora so Urusi itachukua hatua zaidi ya hapoBiden anazuga tu, kitaalamu hawezi kutangaza jambo hilo, kwamfano angalia Biden ndo alikuwa mtuwa mwisho kusema Marekani ndio iliyosaidia kuwaondoa russia Kyiv na mpaka leo russia anaiyona chungu Kyiv putin alipigika vibbaya sana
Subiri tuone
We source yako ni global publishers?Sijui kama umeeleweka maana unaambiwa
M270 Multiple Launch Rockets System (MLRS).
SERIKALI ya Marekani ipo kwenye mpango wa kuipatia Ukraine mfumo wa kurusha roketi nyingi za masafa marefu unaojulikana kama M270 Multiple Launch Rockets System (MLRS).
Mfumo huo wa M270 MLRS unaweza kurusha aina mbalimbali za silaha, ukiwa ni wa hali ya juu zaidi unaoweza kulenga shabaha ya umbali wa kilomita 300.
Hata hivyo, mfumo huu pia unaweza kurusha makombora ya masafa mafupi na anuwai ya karibu 70km.
Rais Volodymyr Zelensky na maafisa wengine wa Ukraine wamehimiza kuwasilishwa kwa MLRS kwa lengo kuu la kuisaidia nchi hiyo kukabiliana na mashambulizi makubwa ya Urusi katika eneo la mashariki la Donbas.
Inapatikana:
Marekani Kuipatia Ukraine Mfumo aa Makombora ya Masafa Marefu
SERIKALI ya Marekani ipo kwenye mpango wa kuipatia Ukraine mfumo wa kurusha roketi nyingi za masafa marefu unaojulikana kama M270 Multiple Launch Rockets System (MLRS). Mfumo huo wa M270 MLRS unaweza kurusha aina mbalimbali za silaha, ukiwa ni wglobalpublishers.co.tz
Akiongea na Waandishi wa Habari viunga Vya White House,Rais wa Marekani ametamka wazi kwamba Marekani haitaipatia Ukraine Silaha za Masafa Marefu zenye Uwezo wa Kushambulia ndani ya Ardhi ya Urusi.
Kwa mda wa wiki 2 Sasa,Rais wa Ukraine amekuwa akiitaka Marekani Kuipatia nchi yake Silaha za Masafa Marefu ya Mifumo ya Maroketi zenye Uwezo wa Kushambulia ndani ya Ardhi ya Urusi. Pia,Rais wa Ukraine aliongeza kuwa bila Silaha Hizo zenye Uwezo wa Kushambulia Masafa Marefu,Nchi Yake itakaribia kushindwa kuiokoa mini Yake ambayo inaendelea kuzingirwa na Urusi.
Ikumbukwe kuwa,Urusi inatumia Silaha za Masafa Marefu kushambulia Kambi za Ukraine Kabla ya Majeshi ya Ardhini ya Urusi Kuingia. Wataalamu wanadai kuwa,Endapo Ukraine itapewa mfumo huo wa Makombora wa Masafa Marefu,Basi Nguvu za kijeshi Kati ya Urusi na Ukraine katika uwanja wa Kivita hasa upande wa vifaa vya kijeshi utakuwa unakaribia kulingana. Lakini wataalamu wanaonya kuwa,baada ya kupata Silaha Hizo haitaishia kushambulia Majeshi ya Urusi yaliyoko ndani ya Ukraine TU Bali wanaweza kwenda mbali zaidi na kushambulia Ardhi ya Urusi.
Mifumo ya Maroketi ya Masafa Marefu ambayo inaombwa na Ukraine inaitwa Multiple Lunch Rocket System(MLRS). MLRS Ina ya Aina Mbili. Aina ya kwanza Ni Makombora 40 ya Masafa ya kati ndani ya mfumo mmoja yenye Uwezo wa Kushambulia Umbali wa 150Km. MLRS Ina Uwezo wa kurusha Makombora yote 40 ndani ya dakika 2 bila kupumzishwa. Aina ya Pili Ni Kombora moja la Masafa Marefu Maarufu Kama * Army Tactical Missile Cruising System ( ATAMCS)* Lenye Uwezo wa kusafiri umbali wa Mile 300 Sawa na 500Km.
Mpaka Sasa,Nchi za Magharibi zimepeleka nchini Ukraine Silaha za Kujilinda TU na za Masafa Mafupi. Ukraine inaona Kama bila Silaha za Masafa Marefu ambazo Urusi anatumia kuishambulia nchi hiyo,Basi Majeshi yake yatashindwa kukabiliana na Majeshi ya Urusi yenye dhana nzito.
Announcement comes after Moscow warned any supply of long-range weaponry would mark ‘unacceptable escalation’. US will not give Kyiv rocket systems that can reach Russia: Biden
Madam biden kakataa russia hataweza ku-revenge mpaka atakapothibitisha zile kauli zinafanyiwa kazi sana marais wa kimataifa wakitamka sio kama huko kwenuKama anaficha ili kudanganya basi anajidanganya, siku kama yatafanikiwa kutua Moscow ndio siku itajukikana kuwa kawapa Ukraine makombora so Urusi itachukua hatua zaidi ya hapo
Tuliwaambia ...kama ukraine ikipatiwa hizo silaha hapo vita ya 3 ya dunia itakuwa ime switch ON maana Zelensky anatafuta mbinu ya kuziingiza nchi za NATO kwenye vita. Hapo itakuwa ni vita ya 3 na ili ndiyo litakuwa tegemeo lake la mwisho bwana Zelensky ,hivyo akipatiwa hizo siraha kwa shariti la kutokushambulia urussi lazima yeye atakiuka na kushambulia urusi hapo urusi itaanza kuzishambulia nato rasmi na kuanza kulipua miundo mbinu ya kijeshi na kiuchumi ya nchi za natoAkiongea na Waandishi wa Habari viunga Vya White House,Rais wa Marekani ametamka wazi kwamba Marekani haitaipatia Ukraine Silaha za Masafa Marefu zenye Uwezo wa Kushambulia ndani ya Ardhi ya Urusi.
Kwa mda wa wiki 2 Sasa,Rais wa Ukraine amekuwa akiitaka Marekani Kuipatia nchi yake Silaha za Masafa Marefu ya Mifumo ya Maroketi zenye Uwezo wa Kushambulia ndani ya Ardhi ya Urusi. Pia,Rais wa Ukraine aliongeza kuwa bila Silaha Hizo zenye Uwezo wa Kushambulia Masafa Marefu,Nchi Yake itakaribia kushindwa kuiokoa mini Yake ambayo inaendelea kuzingirwa na Urusi.
Ikumbukwe kuwa,Urusi inatumia Silaha za Masafa Marefu kushambulia Kambi za Ukraine Kabla ya Majeshi ya Ardhini ya Urusi Kuingia. Wataalamu wanadai kuwa,Endapo Ukraine itapewa mfumo huo wa Makombora wa Masafa Marefu,Basi Nguvu za kijeshi Kati ya Urusi na Ukraine katika uwanja wa Kivita hasa upande wa vifaa vya kijeshi utakuwa unakaribia kulingana. Lakini wataalamu wanaonya kuwa,baada ya kupata Silaha Hizo haitaishia kushambulia Majeshi ya Urusi yaliyoko ndani ya Ukraine TU Bali wanaweza kwenda mbali zaidi na kushambulia Ardhi ya Urusi.
Mifumo ya Maroketi ya Masafa Marefu ambayo inaombwa na Ukraine inaitwa Multiple Lunch Rocket System(MLRS). MLRS Ina ya Aina Mbili. Aina ya kwanza Ni Makombora 40 ya Masafa ya kati ndani ya mfumo mmoja yenye Uwezo wa Kushambulia Umbali wa 150Km. MLRS Ina Uwezo wa kurusha Makombora yote 40 ndani ya dakika 2 bila kupumzishwa. Aina ya Pili Ni Kombora moja la Masafa Marefu Maarufu Kama * Army Tactical Missile Cruising System ( ATAMCS)* Lenye Uwezo wa kusafiri umbali wa Mile 300 Sawa na 500Km.
Mpaka Sasa,Nchi za Magharibi zimepeleka nchini Ukraine Silaha za Kujilinda TU na za Masafa Mafupi. Ukraine inaona Kama bila Silaha za Masafa Marefu ambazo Urusi anatumia kuishambulia nchi hiyo,Basi Majeshi yake yatashindwa kukabiliana na Majeshi ya Urusi yenye dhana nzito.
Announcement comes after Moscow warned any supply of long-range weaponry would mark ‘unacceptable escalation’. US will not give Kyiv rocket systems that can reach Russia: Biden
Kitu kinacho wafanya waogope kumpa ni kwamba walitakiwa kumpa ili kujilinda ndani ya nchi yake tu ilo ndiyo shariti ila Zelensky ana hasira sana hivyo lazima atataka kutanua huo mzozo hadi nato hivyo atashambulia ndani ya urusi kwa hsyo makombora , hivyo urussi atalazimika kulipua viwanda na maghara ya hozo siraha kwenye nchi za nato hapo vita vya dunia vitakuwa ONNaamini hata kama wangempa makombora hayo haingesaidia kitu,
Kibaya zaidi wangemponza,
Ndio wangemtia hasira Russia
Russia angefanya maangamizi makubwa mno Hadi Dunia ingejuta,
wala bila silaha za nyukilia.
Ukiachana na kifo RUSSIA inaogopwa zaidi na US kuliko kingine!!!Madam biden kakataa russia hataweza ku-revenge mpaka atakapothibitisha zile kauli zinafanyiwa kazi sana marais wa kimataifa wakitamka sio kama huko kwenu
Nani kakwambia., mambo yote aliyotahadharisha urusi, US wamefanya kwa makusudi ili kama ana ubavu ajaribu, alionya Ukraine asisaidiwe silaha na akigundua basi atashambulia ulaya na marekani lakini marekani wanapeleka na kwa kumjibu kabisa tunapeleka, putini alionya Finland na Sweden wasiombe kujiunga na NATO, Finland wameomba, Urusi alionya Ukraine wasijiunge na umoja wa Ulaya lakini ukrean wameomba mchana kweupe,
Hao Finland na Sweden wanaingizwa chaka na marekani. Sehemu yoyote mrusi akiamua kupigana vita hakuna nchi yoyote ya nato itakayoingilia huo ugomvi sanasana watakachofanya kama wanavyofanya Ukraine. Hayo mambo ya kupewa silaha za kujilinda yapo enzi na enzi ila silaha nzito za kushambulia haijawahi kutokea na itakapotokea basi kuna uwezekano mkubwa wa kutokea vita ya duniaNani kakwambia., mambo yote aliyotahadharisha urusi, US wamefanya kwa makusudi ili kama ana ubavu ajaribu, alionya Ukraine asisaidiwe silaha na akigundua basi atashambulia ulaya na marekani lakini marekani wanapeleka na kwa kumjibu kabisa tunapeleka, putini alionya Finland na Sweden wasiombe kujiunga na NATO, Finland wameomba, Urusi alionya Ukraine wasijiunge na umoja wa Ulaya lakini ukrean wameomba mchana kweupe,
Urusi ni mwoga kuliko mdudu yoyote
Waache kelele NATO wakasaidie UKRAINE hukoNani kakwambia., mambo yote aliyotahadharisha urusi, US wamefanya kwa makusudi ili kama ana ubavu ajaribu, alionya Ukraine asisaidiwe silaha na akigundua basi atashambulia ulaya na marekani lakini marekani wanapeleka na kwa kumjibu kabisa tunapeleka, putini alionya Finland na Sweden wasiombe kujiunga na NATO, Finland wameomba, Urusi alionya Ukraine wasijiunge na umoja wa Ulaya lakini ukrean wameomba mchana kweupe,
Urusi ni mwoga kuliko mdudu yoyote
kumbuka Ukrean si mwanachama wa Nato hadi sasa., ungetolea mfano wa nchi 1 member wa Nato ameguswa halafu NATO hawaku respond vigorously, Finland na Sweden wanajiunga na NATO ili kupata uhakika wa kujilinda, kuna siku Russia anaweza akaamka vibaya akarusha mabomu Finland sasa kujiunga kwao kunaleta heshima ili Putin akijaribu kuigusa Finland ajue anamgusa nani.Hao Finland na Sweden wanaingizwa chaka na marekani. Sehemu yoyote mrusi akiamua kupigana vita hakuna nchi yoyote ya nato itakayoingilia huo ugomvi sanasana watakachofanya kama wanavyofanya Ukraine. Hayo mambo ya kupewa silaha za kujilinda yapo enzi na enzi ila silaha nzito za kushambulia haijawahi kutokea na itakapotokea basi kuna uwezekano mkubwa wa kutokea vita ya dunia
Hiyo kusema mwanachama au sio mwanachama ni chaka la kuficha madhaifu. Mbona USA kasema China ikiivamia taiwan ataingilia hiyo vita, kwani taiwan ni memba wa NATO??kumbuka Ukrean si mwanachama wa Nato hadi sasa., ungetolea mfano wa nchi 1 member wa Nato ameguswa halafu NATO hawaku respond vigorously, Finland na Sweden wanajiunga na NATO ili kupata uhakika wa kujilinda, kuna siku Russia anaweza akaamka vibaya akarusha mabomu Finland sasa kujiunga kwao kunaleta heshima ili Putin akijaribu kuigusa Finland ajue anamgusa nani.
Huyo Putin vita ya 3 ya dunia na yeye anaiogopa sana, kwa sababu kama haogopi saivi vita ya Ukraine kuna viashiria vyote yeye anatakiwa aanzishe lakini mbona ameganda? mara anaweka sawa vinu vya nuclear lakini baadae anavirejesha, putin ni mwoga sana si kiongozi anayejiamini kama watu wengi walivyoaminishwa
Vita ya ukraine sasa inaingia mwezi 4 ameshindwa kutangaza nimepata hichi katika mahitajio yangu, unafkiri ataweza vipi kupigana na dunia? Ndio mana Finland na Sweden wamemsoma na kuona Russia ni dhaifu sana tumekuwa tukimuogopa bure wacha twendezetu Nato,
Hiyo kusema mwanachama au sio mwanachama ni chaka la kuficha madhaifu. Mbona USA kasema China ikiivamia taiwan ataingilia hiyo vita, kwani taiwan ni memba wa NATO??
Hapo kwenyewe Ukraine anapigana na dunia. Nchi zote za NATO zipo hapo Ukraine na kila siku wanaingiza silaha za kila namnana na kila siku tunasikia Russia ana advance kwa kumega maeneo
Mkuu Taiwan sio mwanachama wa Nato lakin elewa technologia ya Taiwan na uchumi wao wote takriban 70% wamesaidiwa na Marekani, Marekani wamepeleka pale wataalamu na wachumi mpaka taiwan ilivyo leo, lakin Taiwan kwa upande ule wa bahari wamepakana na Marekani kuna kambi ya kijesh nadhan wanaita Gamu angalia kwenye raman, hivyo China akichukua Taiwan atahatarisha pia ukaribu na Marekani ndio mana Marekani wataipigania Taiwan.Hiyo kusema mwanachama au sio mwanachama ni chaka la kuficha madhaifu. Mbona USA kasema China ikiivamia taiwan ataingilia hiyo vita, kwani taiwan ni memba wa NATO??
Hapo kwenyewe Ukraine anapigana na dunia. Nchi zote za NATO zipo hapo Ukraine na kila siku wanaingiza silaha za kila namnana na kila siku tunasikia Russia ana advance kwa kumega maeneo
Uwaga sijibizani na watu ambo kwao ubishi ni kipaji. Aljezeela kila siku kwenye news zake wanaonyesha ramani Russia wanavyo advance alafu wewe mmarekani wa tandale unabisha. Huu ni msibaMkuu Taiwan sio mwanachama wa Nato lakin elewa technologia ya Taiwan na uchumi wao wote takriban 70% wamesaidiwa na Marekani, Marekani wamepeleka pale wataalamu na wachumi mpaka taiwan ilivyo leo, lakin Taiwan kwa upande ule wa bahari wamepakana na Marekani kuna kambi ya kijesh nadhan wanaita Gamu angalia kwenye raman, hivyo China akichukua Taiwan atahatarisha pia ukaribu na Marekani ndio mana Marekani wataipigania Taiwan.
Hakuna mahali Russia ame advance eneo Ukraine ni propaganda zenu tu., Russia ilivamia Ukraine akaenda kuizunguka Kyiv kilichotokea ndicho kilichomuhamisha Kyiv na kurudi Donbas ambako sasa vita inaendelea., mji wa Khakiv Russia ilitangaza kuuchukua lakini sasa Ukraine wameshachukua wenyewe Russia wamefurushwa hadi mpakani kwao,urusi wamerudishwa walikotoka km40, Miji iliyobaki kama Mouriopol vita inaendelea na watahakikisha hachukui hata inch 1 ardhi ya ukrean mpaka cremea