Biden ni dhaifu sana, kina Obama wanakwambia usigombee mwachie Kamala na wewe unakubali?

Biden ni dhaifu sana, kina Obama wanakwambia usigombee mwachie Kamala na wewe unakubali?

Khanji kapoor

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2024
Posts
1,198
Reaction score
2,695
Sijawahi kuona Rais wa USA duni kama huyu.

Mfumo wa USA, Biden angemaliza kipindi chake vizuri tu.

Afya ya Biden haina tatizo lolote

Ila toka yule Obama abahatike kuwa Rais basi anajiona ndio mtu muhimu kwenye democratic.

Wamarekani wengi wamepiga kura za hasira kuwakataa walio nyuma ya kamala akiwemo Obama

Huyu mzee mjinga sana anazidiwa akili na Obama!
 
Nani angpigia kura mzee Biden mwenye miaka 5

USSR
 
Kuna kitu hata mm natamani kujua.. Wanasema USA ina mfumo imara kiasi kwamba hata taahira anaweza kuwa rais kutokana na mfumo wa uongozi uliopo.
So inakuaje afya ya Biden imekuwa tatizo kwasababu haendeshi nchi Kwa matakwa yake Bali ni mfumo uliowekwa. Kila kitu kipo kwenye utaratibu maalum
 
America ndio ilivyo, rais ni mtu wa ku progress nchi kwenda sehemu fulani but kuna mifumo inayo run nchi even if president akifa leo.

wamefanya hivyo malusudi kulimit power za rais lakin kuondoa ombwe la uongozi
 
Sijawahi kuona Rais wa USA duni km huyu

Mfumo wa USA, Biden angemaliza kipindi chake vizuri tu

Afya ya Biden haina tatizo lolote

Ila toka yule obama abahatike kuwa Rais basi anajiona ndio mtu muhimu kwenye democratic

Wamarekan wengi wamepiga kura za hasira kuwakataa walio nyuma ya kamala akiwemo Obama

Huyu mzee mjinga sana anazidiwa akili na ngozi nyeusi
Is not about kung’ang’ania madaraka kama viongozi wa afrika, biden afya yake haikuwa nzuri sana, clearly asingeweza kundelea. Kosa moja ni kwamba chama chake hakikujiandaa kwa hili
 
Kuna kitu hata mm natamani kujua.. Wanasema USA ina mfumo imara kiasi kwamba hata taahira anaweza kuwa rais kutokana na mfumo wa uongozi uliopo.
So inakuaje afya ya Biden imekuwa tatizo kwasababu haendeshi nchi Kwa matakwa yake Bali ni mfumo uliowekwa. Kila kitu kipo kwenye utaratibu maalum
Biden angeshindwa vibaya sana na Trump
 
Back
Top Bottom