Khanji kapoor
JF-Expert Member
- Oct 19, 2024
- 1,198
- 2,695
Good answer in best time.😊Kama Afya ya Biden haina tatizo,basi yako ndionitakuwa na tatizo
America ndio ilivyo, rais ni mtu wa ku progress nchi kwenda sehemu fulani but kuna mifumo inayo run nchi even if president akifa leo.Kuna kitu hata mm natamani kujua.. Wanasema USA ina mfumo imara kiasi kwamba hata taahira anaweza kuwa rais kutokana na mfumo wa uongozi uliopo.
So inakuaje afya ya Biden imekuwa tatizo kwasababu haendeshi nchi Kwa matakwa yake Bali ni mfumo uliowekwa. Kila kitu kipo kwenye utaratibu maalum
Is not about kung’ang’ania madaraka kama viongozi wa afrika, biden afya yake haikuwa nzuri sana, clearly asingeweza kundelea. Kosa moja ni kwamba chama chake hakikujiandaa kwa hiliSijawahi kuona Rais wa USA duni km huyu
Mfumo wa USA, Biden angemaliza kipindi chake vizuri tu
Afya ya Biden haina tatizo lolote
Ila toka yule obama abahatike kuwa Rais basi anajiona ndio mtu muhimu kwenye democratic
Wamarekan wengi wamepiga kura za hasira kuwakataa walio nyuma ya kamala akiwemo Obama
Huyu mzee mjinga sana anazidiwa akili na ngozi nyeusi
Biden angeshindwa vibaya sana na TrumpKuna kitu hata mm natamani kujua.. Wanasema USA ina mfumo imara kiasi kwamba hata taahira anaweza kuwa rais kutokana na mfumo wa uongozi uliopo.
So inakuaje afya ya Biden imekuwa tatizo kwasababu haendeshi nchi Kwa matakwa yake Bali ni mfumo uliowekwa. Kila kitu kipo kwenye utaratibu maalum