Biden: Putin will 'pay a price' for election meddling

Biden: Putin will 'pay a price' for election meddling

BRAIN BOX

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2021
Posts
387
Reaction score
317
Akihojiwa leo na kituo cha televisheni cha ABC NEWS Rais Biden amesema anaamini Rais wa Urusi, bwana Putin ni muuaji na atalipa iyo gharama.

Ameongeza kuwa amewahi kumwambia Putin kuwa ni mtu katili na asie na roho ya binadamu. Rais Putin amewahi kushutumiwa kwa mauaji ya waandishi wa habari, kumuua Sergei Skripal aliyewahi kuwa jasusi wa Urusi na kujaribu kumuua mpinzani wake mkuu wa kisiasa ambae sasa hivi yuko jela, Alexei Navalny.

Majibu ya Bwana Biden yanakuja baada ya ripoti iliyotolewa Jana ya kiuchunguzi Marekani kuonesha Urusi ilijaribu kwa namna moja au nyingine kushawishi uchaguzi wa Marekani mwaka jana ili Donald Trump ashinde.

=======

WASHINGTON (Reuters) - President Joe Biden said Russian President Vladimir Putin will face consequences for directing efforts to swing the 2020 U.S. presidential election to Donald Trump, and that they would come soon.

“He will pay a price,” Biden told ABC News in an interview that aired on Wednesday. Asked what the consequences would come, he said, “You’ll see shortly.”

His comments come after a U.S. intelligence report on Tuesday bolstered longstanding allegations that Putin was behind Moscow’s election interference, an accusation Russia called baseless.

At the same time, Biden noted that “there’s places where it’s in our mutual interest to work together” such as renewing the START nuclear agreement, adding that the two leaders have a known history.

“I know him relatively well,” Biden said, adding that “the most important thing dealing with foreign leaders in my experience ... is just know the other guy.”

Of Putin, Biden said he does not think the Russian leader has a soul. Asked if he thought Putin was a killer, he told ABC: “I do.”

Source: Biden vows Russia's Putin will 'pay a price' for election meddling: ABC News
 
Marekani bana, utadhani wao ni malaika. Sidhani kama kuna serikali yenye damu nyingi za watu duniani kama ya Marekani. Kwa urusi, wataendelea kurushiana tu maneno na vikwazo visivyo na madhala yoyote.
 
Huyu na Clinton wanashida sana na Putin
 
Ubavu anao, USA ilifanya wakati wa Golbachev, kumbuka pia kuwa wakati huo Joe alikuwa serikalini, anaijua siri
Ngoja tuone,, ila hakuna watachoweza kufanya zaidi ya kupandikiza fitna Russia ivunjike.

Na sio kumtoa madarakani au kumpiga.
 
Walivunja USSR na kiongozi akakimbilia mapumzikoni USA
Hawakuwahi ivunja ussr..walifanya kila linalowezekana ila ilishindikana kabisa..USSR haikusambaratika kwa sababu ya marekani..au kazi ya CIA.. Ni tofauti kabisa.
Mkurugenzi wa CIA wa kipindi hicho amehojiwa mara nyingi na kuthibisha hilo.
Hawakutarajia kama tukio lingetokea wakati ule tena kwa kasi vile..
Yule mkurugenzi wa CIA aliamua kujiuzuru baadaye maana anasema CIA ilipoteza kabisa dira hawakujua nini cha kufanya tena..it was a big surprise to them.
Inahitaji makala ndefu kidogo ili tuweze kuelewana nini hasa kilitokea mpaka kusambaratika kwa USSR.
Kwa vile Marekani ndio alikuwa adui mkuu na harakati zake kupitia CIA but wengi huipa sifa kubwa CIA ambazo hata huo uwezo hawakuwa nao wakati huo..bali walikua wanaendelea na harakati ngumu za na kuamini one day sijui mwaka gani watafanikiwa.

Ila sio wakati ule..fuatilia Dr classified documents zao nyingi zinaeleza bayana.

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom