Republican ni anti Russia and Putin Hilo liko wazi hawajawah kumsupport putin au Russia hata siku moja except trump ilo liko wazi
Alafu acha uongo vikosi Korea kusin vipo tokea zile nchi zimetengana during cold war ambapo Korea kusin ilikua capitalist camp, na kaskazini socialism, Trump ameingia madarakani amevikuta vikosi vipo ambpo Mara nyingi wanafanyaga mazoezi ya pamoja na jeshi la marekani kwenye mpaka wa Korea kusin na kaskazini
Umeanza kufuatilia siasa za marekani baada ya Trump kuwa raisi ndo maana unadhani kila Jambo kalianzisha trump