Biden: Urusi haitashinda Ukraine

Biden: Urusi haitashinda Ukraine

HERY HERNHO

Senior Member
Joined
Mar 4, 2022
Posts
110
Reaction score
458
Rais wa Marekani, Joe Biden amesema Urusi haiwezi kushinda vita dhidi ya Ukraine.

Matamshi hayo ameyatoa mjini Warsaw, Poland ikiwa ni saa kadhaa baada ya Rais wa Urusi Vladimir Putin kusema Urusi itaendeleza mashambulizi yake ambayo yanakaribia kutimiza mwaka sasa.

Rais Biden akionekana wazi kujibu hotuba ya Rais Putin amesema mataifa ya Magharibi hayapangi njama ya kuishambulia Urusi.

Siku moja kabla ya kuyasema hayo, kiongozi huyo mwenye umri wa miaka 80 alifanya ziara yake ya kwanza na ya kushtukiza mjini Kiev, tangu uvamizi wa Urusi ulipoanza Februari 24, 2022 na ikiwa ni siku chache kabla ya kutimiza mwaka mmoja.

Awali katika hotuba yake ya kila mwaka kwa taifa, Rais Putin aliyashutumu mataifa ya Magharibi kwa kuongeza mzozo huo na kutangaza kuwa Urusi itasimamisha ushiriki wake katika mkataba wa kudhibiti silaha za nyuklia unaojulikana kama New START ambao iliusaini na Marekani.

Chanzo: DW Swahili

Hotuba ya bideni kwa lugha ya kiswahili ipo katika comment

64778868_803.jpg
 
Elon Musk ana maono na akili sana, aliwaondolea Ukraine huduma ya Starlink sababu wanapewa kiburi cha kijinga ambacho kinaweza sababisha vita ya tatu ya dunia. Kwa nini wasitafute solution wakomalie kukoleza moto?

Mrusi akichoka atatumia nyuklia kumaliza kazi mapema, ni mpuuzi tu anaechukua side kwenye hii vita sababu huwezi chagua between 2 evils. Ikitokea ww3 wa kulaumiwa ni mashabiki na supporters wote wa pande zote Russia na Ukraine.

Mwaka mbovu, USD iko juu, stock markets zinayumba yumba lkn bado wanataka kuendeleza upuuzi wao, worthless bastards kabisa.
 
Elon Musk ana maono na akili sana, aliwaondolea Ukraine huduma ya Starlink sababu wanapewa kiburi cha kijinga ambacho kinaweza sababisha vita ya tatu ya dunia.

Hapo umeshiba dagaa zako unabeua tu... wakati urusi anatumia nukes NATO watakua wanamchekea?
 
Uchumi wa Marekani unafanya vizuri sana kwa sasa chini ya Biden, amka kutoka ndoto unazoota.
Elon Musk ana maono na akili sana, aliwaondolea Ukraine huduma ya Starlink sababu wanapewa kiburi cha kijinga ambacho kinaweza sababisha vita ya tatu ya dunia.

Mrusi akichoka atatumia nyuklia kumaliza kazi mapema, ni mpuuzi tu anaechukua side kwenye hii vita sababu huwezi chagua between 2 evils. Ikitokea ww3 wa kulaumiwa ni mashabiki na supporters wote wa pande zote Russia na Ukraine.

Mwaka mbovu, USD iko juu, stock markets zinayumba yumba lkn bado wanataka kuendeleza upuuzi wao, worthless bastards kabisa.
 
Ulitaka Ukraine wafanye nini?

Kama wewe ungekuwa katika nafasi ya Zelenskyy ungefanya nini nchi yako inapovamiwa?

Em ngoja nikucheke kwanza.

Natrade markets fulltime, SPY(stock index ya makampuni makubwa US) ilianza vzr mwaka huu baada ya kupoteza sana mwaka jana lkn wiki hii ni loss tu zinatembea.

Credit cards balance US zimepaa watu wanatumia credit kupitiliza.

Kampuni zote kubwa za US zinafukuza kuanzia 10% hadi 20% ya wafanyakazi wakiongoza na makampuni makubwa kama Google, Meta(facebook), Stripe, Paypal etc....

US federal reserve chini ya Powell imeongeza Interest rate na inategemewa kuendelea kuongeza so mikopo imekua expensive makampuni hayawezi kurisk kukopa tena so yanapunguza cost of production.

Numbers zinasema US inaenda kudefault kwenye Bonds zake japo officials wanapinga hivo, lkn history na numbers zinaonesha uwezekana mkubwa wa kudefault.

Inafikia hatua hadi wanauchumi wakubwa kama Ray Dalio anakwambja US inakuja kuzidiwa na China in 10 years

Kama huna facts usi-argue na mm khs hio topic nenda MMU.
 
Em ngoja nikucheke kwanza.

Natrade markets fulltime, SPY(stock index ya makampuni makubwa US) ilianza vzr mwaka huu baada ya kupoteza sana mwaka jana lkn wiki hii ni loss tu zinatembea.

Credit cards balance US zimepaa watu wanatumia credit kupitiliza.

Kampuni zote kubwa za US zinafukuza kuanzia 10% hadi 20% ya wafanyakazi wakiongoza na makampuni makubwa kama Google, Meta(facebook), Stripe, Paypal etc....

US federal reserve chini ya Powell imeongeza Interest rate na inategemewa kuendelea kuongeza so mikopo imekua expensive makampuni hayawezi kurisk kukopa tena so yanapunguza cost of production.

Numbers zinasema US inaenda kudefault kwenye Bonds zake japo officials wanapinga hivo, lkn history na numbers zinaonesha uwezekana mkubwa wa kudefault.

Kama huna facts usi-argue na mm khs hio topic nenda MMU.
Jibu swali we kizala wahed! Umeulizwa ulitaka ukraine walipovaniwa wafanye nini?

Dagaa za vumbi mnazokula ni hatari kwa afya ya akili!! Haya vua hizo kobazi tanua huo msuli ulovaa hewa ipite ndani.
 
Jibu swali we kizala wahed! Umeulizwa ulitaka ukraine walipovaniwa wafanye nini?
Hamna aloniuliza hilo swali hapa.

Dagaa za vumbi mnazokula ni hatari kwa afya ya akili!! Haya vua hizo kobazi tanua huo msuli ulovaa hewa ipite ndani

Umasikini wako wa akili na upuuzi ulorithishwa usiniletee hapa, huwa sijibu trash kama zako. Endelea kutukana sababu matusi ndio kimbilio la mjinga siku zote. Tukana matusi yote unayojua ila kama huna akili, huna akili tu.
 
Hamna aloniuliza hilo swali hapa.

Umasikini wako wa akili na upuuzi ulorithishwa usiniletee hapa, huwa sijibu trash kama zako. Endelea kutukana sababu matusi ndio kimbilio la mjinga siku zote. Tukana matusi yote unayojua ila kama huna akili, huna akili tu.
Huna akili wewe mvaa kobazi.
 
Ulitaka Ukraine wafanye nini?

Kama wewe ungekuwa katika nafasi ya Zelenskyy ungefanya nini nchi yako inapovamiwa?
Mie sishabikii upande wowote na nimesema toka kwenye comment yangu ya mwanzo, so hilo swali umeuliza sehemu isio sahihi.

Kinachonishangaza ni viongozi wakubwa na nchi mbalimbali kuendelea kukoleza moto kwenye hii vita kwa kuwasupport kivita pande zote mbili bila kufikiria namna ya kutafuta suluhisho. Waliogundua hilo ni kosa wameanza kujitoa na ndo maana nikatolea mfano wa elon musk kudisable access ya starlink kwa jeshi la ukraine
 
Jibu swali ungekua wewe ndo Ukraine umevamiwa ungefanya nini? Unazunguka kichaka?
 
Mwanaume halisi huwa hatupi jiwe gizani sababu anajiamini kuface outcome za maneno au matendo yake.

Mwanaume halisi yuko tayari kusimamia anachoamini.

Mwanaume halisi hashindi masaa 24 kwenye social media.

Tafuta kazi ufanye.
Wewe umejuaje masaa 24 yupo kwenye social media kama nawewe hushindi huko?

Unamwambia atafute kazi ya kufanya unajuaje kama kazi yake ndo hapa kwenye social media?

We kima ni mpumbavu na mtu wa hovyo sana.
 
Back
Top Bottom