Bidhaa 10 ambazo huruhusiwi kuziingiza Tanzania

Je Stun gun na taser zinaruhusiwa?
Hiyo Taser km ikija kuruhusiwa kuingia nchini,Mimi nitakuwa wa Kwanza kumiliki ili nikomae na watoto wa keko maeneo ya bandari

Jamaa wanakaba sn mitaa ya bandari pale kuanzia saa moja usiku alafu Mzee samtaimz napiga night shift..dawa Yao ni kuwapiga shoti Tu Hadi mtu ana freeze

Siku moja walivamia gari la dada mmoja wwkakomba kila kitu walichokikuta ndani,dada wa watu akapiga sn kelele lkn hakuna aliyethubutu kunyanyua mguu wake kwenda kumsaidia me mwenyewe sikuthubutu,Walikuwa na mapanga ya kutosha ,makondakta na madereva daladala wanaangalia tu dah!
 
1. SANAMU ZA NGONO (SEX TOYS)
Kama ilivyo katika nchi nyingi za Afrika, Tanzania pia inakataza kuingiza sanamu za kufanyia ngono kama vile uume bandia (dildos, vibrators), vinyamkera mahaba n.k.

Bidhaa hizi zimekatazwa kwa sababu za kimaadili na kitamaduni.
Kwaiyo na vile vipingu wanavyofungana watu wakati wa sex na zile mikanda navyo haviruhusiwi?
 
Hiyo Taser km ikija kuruhusiwa kuingia nchini,Mimi nitakuwa wa Kwanza kumiliki ili nikomae na watoto wa keko maeneo ya bandari

Jamaa wanakaba sn mitaa ya bandari pale kuanzia saa moja usiku alafu Mzee samtaimz napiga night shift..dawa Yao ni kuwapiga shoti Tu Hadi mtu ana freeze

Siku moja walivamia gari la dada mmoja wwkakomba kila kitu walichokikuta ndani,dada wa watu akapiga sn kelele lkn hakuna aliyethubutu kunyanyua mguu wake kwenda kumsaidia me mwenyewe sikuthubutu,Walikuwa na mapanga ya kutosha ,makondakta na madereva daladala wanaangalia tu dah!

Na mimi nimeuliza ila kuna mdau kasema vibali vinatoka ukiomba
Kenya nafikiri zipo
Kama masharti ni machache bora kuwa nayo
 
Back
Top Bottom