Bidhaa 10 ambazo huruhusiwi kuziingiza Tanzania

Prohibited goods ni kundi la bidhaa zisizoruhusiwa kama ulizoainisha hapo juu

Restricted goods ni bidhaa zinazohitaji vibali kama chakula, dawa,kemikali,vifaa vya umeme vifaa ya hospitali nk
 
Siku hizi huna haja ya kuja na kanda za ngono maana zimejaa kwenye intaneti

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Tausi sio ndege wa Kiafrika sasa anakuwaje nyara ya serikali... Hapo Jamuhuri imeyumba imefanya utapeli wa wazi.. Ndege huyu asili yake India anakuwaje nyara. Halafu serikali bado unauza wanyama pori kwa wageni
Kuna ujinga mwingi kwenye hili taifa ambao ukikaa ukajiuliza uwez pata majibu
 

Mbona vyote vipo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…