Bidhaa 10 ambazo huruhusiwi kuziingiza Tanzania

kuna sehem umesema bidhaa feki mbona madukani zimejaa mfano simu vifaa vya umeme nk.

Kuna feki na ubora dhaifu (second hand). Mfano China hawatengenezi bidhaa feki, bali zenye ubora mdogo kulingana na soko la Afrika.

Ni vema ukajua tofauti kwanza. Vifaa vyote feki hukamatwa na kuteketezwa.
 
Dildos na Vibrators kibao zimejaa mtaani na zinauzwa na Maduka makubwa tu. Haya mambo ya Controls sisi hatuyawezi. Ukiondoa mitumba 95% ya nguo ni feki.
 
Sawa mkuu

Vipo vya ukubwa na ujazo tofauti. Vingine vidogo sana kwa umbo na vingine ni kama chupa kabisa. Tazama mfano pichani.

Kazi yake ni hii (kupulizia machoni) ili kumdhibiti mhalifu, na mara nyingi hutumiwa na vyombo vya usalama hasa nje ya nchi.

Tanzania bado hazitumiki sana na ukiagiza utalazimika kufuata taratibu za kisheria za kuingiza silaha.

 
Pikipiki za matairi matatu za mitumba/ used je zinaruhusiwa?
 
Je naweza kuagiza toi za guns au pistol toka nje zile zinazofanana completely na real pistol kwaajir ya watoto wangu kuchezea!???
 

Wameelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…