Bidhaa Amazon

Bidhaa Amazon

DexterLab

Senior Member
Joined
Oct 17, 2024
Posts
161
Reaction score
193
Habari, Kuna bidhaa nataka kuagiza (mini projector 📽️) kutoka Amazon.

pakuanzia kuhusu Amazon najua ila swali langu ni:-

Je, nikiagiza bidhaa Amazon, nitatakiwa kuichukulia wapi(destination)? Kama nikikamilisha taratibu zote za manunuzi?
 
Nilitaka kujua ukishanunua bidhaa kwa hapa Tz itapokelewa wapi?
Aliyekusafirishia, kama ni DHL au ARAMEX au FEDEX atakupigia simu na atakupa amaelekezo nini cha kufanya na wapi uchukue mzigo au wakueletee mahala ulipo.
 
Aliyekusafirishia, kama ni DHL au ARAMEX au FEDEX atakupigia simu na atakupa amaelekezo nini cha kufanya na wapi uchukue mzigo au wakueletee mahala ulipo.
Nilivyosoma wanaosafirisha mizigo ni Amazon Logistics ambao ni kampuni tanzu ya kwao
 
Back
Top Bottom