Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unasafirisha kwa kutumia nini???Taratibu za manunuzi nazijua.(Ipo USA) Nilitaka kujua ukishanunua bidhaa kwa hapa Tz itapokelewa wapi?
Aliyekusafirishia, kama ni DHL au ARAMEX au FEDEX atakupigia simu na atakupa amaelekezo nini cha kufanya na wapi uchukue mzigo au wakueletee mahala ulipo.Nilitaka kujua ukishanunua bidhaa kwa hapa Tz itapokelewa wapi?
Nilivyosoma wanaosafirisha mizigo ni Amazon Logistics ambao ni kampuni tanzu ya kwaoAliyekusafirishia, kama ni DHL au ARAMEX au FEDEX atakupigia simu na atakupa amaelekezo nini cha kufanya na wapi uchukue mzigo au wakueletee mahala ulipo.
Sawa ila tambua atakaye fikisha mzigo hapa nchini ni moja kati ya hizo kampuni.Amazon Logistics ambao ni kampuni tanzu ya kwao
Kama utahitahi huduma yangu karibu: Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa1. Kitabu cha kabendera(uingereza) 2. Rich dad's cashflow quadrant (kitabu) UK 3. Bidhaa nyingine ipo marekani
Tunasafirisha Kwa ndege nikupe address ufike ofisini kama upo dar?1. Kitabu cha kabendera(uingereza) 2. Rich dad's cashflow quadrant (kitabu) UK 3. Bidhaa nyingine ipo marekani