Sa 7 mchana
JF-Expert Member
- Dec 30, 2018
- 5,214
- 10,276
Zitaje hizo bidhaa haram na magendo.Labda bidhaa haramu au bidhaa za magendo!
Anyway na mi nisubiri nijue ni biashara gani hiyo.
Nimependa hii idea, naomba ufafanuzi zaidi mkuu...Bidhaa Murua ni zile zamadukani, unachukua kwajumla then unaweka private store baada ya siku unapitisha mkopo kwa kila duka kwa marejesho ya wiki
Hahaha unapenda sana mtelezo kijana utumie laki upate laki kwa pic? Aloo lbda bangiHabari zenu wapambanaji,
Naomba kujuzwa bidhaa ambazo inaweza toa faida ghafi ya laki moja au zaidi kwa pc na huku mimi nikiinunua pamoja na usafirishaji niwe nimetumia laki moja au pungufu ya laki kwa kila pc.
Bidhaa iyo haijalishi iwe inapatikana nchini mwetu au kuagizwa.
Asante
Bidhaa Murua ni zile zamadukani, unachukua kwajumla then unaweka private store baada ya siku unapitisha mkopo kwa kila duka kwa marejesho ya wiki
kwaufupi, pita madukani mahali ulipo/tafuta muuza duka mzoefu hakupe list ya bidhaaNimependa hii idea, naomba ufafanuzi zaidi mkuu...
Bidhaa ziko nyingi ndio mana nimeweka kwa ujumlaUmeeleza vzur lkn hujaeleza anachotaka hio bidhaa n ipi unazan
Yeah ofcourse shida yake atajiwe hio bidhaa mfano wasema chukua maandazi weka sehem uza hvo anBidhaa ziko nyingi ndio mana nimeweka kwa ujumla
Maswali mengine bwana khaaaa!!!Habari zenu wapambanaji,
Naomba kujuzwa bidhaa ambazo inaweza toa faida ghafi ya laki moja au zaidi kwa pc na huku mimi nikiinunua pamoja na usafirishaji niwe nimetumia laki moja au pungufu ya laki kwa kila pc.
Bidhaa iyo haijalishi iwe inapatikana nchini mwetu au kuagizwa.
Asante
Kun jamaa kakamatwa kijijn kwetu kwa kuuwa temboPembe za Ndovu. Hii bidhaa wala hauhitaji kusafirisha, Ukiwa nayo watakufuata ulipo, Na faida kubwa juu