Sa 7 mchana
JF-Expert Member
- Dec 30, 2018
- 5,214
- 10,276
- Thread starter
- #21
Wapi napata transfomer ya laki?Maswali mengine bwana khaaaa!!!
Haya! Fanya biashara hii: agiza magari, caterpillar, transformer, ultrasound (medical) na mashine za kisasa za hospital, meri, ndege, n.k. Nadhani hapo utapiga hela ndefu