Bidhaa ambazo chama cha nasa kimeomba wafuasi wake kususia

Bidhaa ambazo chama cha nasa kimeomba wafuasi wake kususia

Na vivo energy ni ya nani? Energy za Mo na Azam zitapata soko kubwa huko walikosusa, wakizipeleka.
vivo energy ni kampuni ya mafuta inayouza bidhaa za SHELL (mf. petrol,diesel,lubricants,v-power etc). Kiufupi ni SHELL KENYA
 
  • Thanks
Reactions: Oii
Nani kawaambia wasuse? Ni yule Raila yenye mashavu yamejaa kama matako?
 
hizo bidhaa sidhani kwa wale watu slums za kibera wanazihitaji...mtu hata kula milo mitatu kwa siku ni shinda unamwambia usitumie hiki au kile inamsaidia nini..
ssa je equity inato scholarship nchj mzima mtoto analipiwa elimu yake yote kuanzia sekondari mpaka chuo je kama nao wakikatisha hizo scholarship Nasa wamejipanga vipi wtoto hao waedelee na shule
kuna wale wenye mikopo pia nao itakua aje au ndio Majembe au Yono ya kenya wataingia mtaani kupiga mnada..
brokside wananunua fresh milk mpk kwenye ngome za Nasa na hii ajira tosha familia inaishi kwa kuuza hayo maziwa je Nasa wanambadala wa Brookside...wengine wamekopeshwe ng'ombe na Equity na maziwa wauzie brokside sasa wanaambia tena wasusie na hii kwao ndio ajira aisee..
gazeti la Nation nalo ni hivyo hivyo...
yangu mcho...
 
Odinga hana jipya! Ajipange tena uchaguzi mwingine! Wakenya wakumbuke kuna maisha baada ya uchaguzi
 
inamaana kweli hujui impact yake?

Hakuna impact kwa uchumi wa Kenya kwani kama mteja akitoka Safaricom na kujiunga Kenya Airtel bado ni Kenya lakini kama wateja wangalijiunga na TIGO ya Tz au Halotel ya Tz hapo tungesema uchumi wa Kenya ni mbaya, hao ni wana siasa waliokwisha ishiwa na sera wanatapatapa tu kama mfa maji! Kudos Uhuru Ruto.
 
Brookside inamiliki 55% solo la maziwa Kenya. Hapa naona KCC ndio itafaidi.

Brookside haimiliki 55% bali inamiliki 90% ya soko LA maziwa,,, usipo kunywa KCC unakunywa brookside products ,wanamiliki brookside,molo milk,fresha, tuzo daima,ilara na delamere dairies, hilo walilolisema watu wa NASA haliwezekani,kwanza wajaluo wanaofanya kazi katika kampuni hizo wataachizwa kazi tuone atakaye umia ni nani. na pia watu watakataa kununua vitu za odinga.
 
KID: Dad mbona Raila hukuwa na ufala mob?
DAD: Silent.
Kid: Dad mbona Raila hukuwa na ufala mob?
Dad : Silent.
Kid; Dad after Ruto kumaliza 2027 Raila atakuwa president?
Dad n Mum:¿¿
Mum: Ujinga ya Raila ilianza kabla sisi tuzaliwe, alijaribu coup akashindwa, akashindana na Moi akashindwa, akashinda na Kibaki akashindwa, akashindana na Uhuru akashindwa, sasa anashindana na N'gombe za Brookside.

Hii imenimaliza mali mali‍♂‍♂‍♂
kuja unichape, nmeeda kulala
 
Halafu kampuni ya Safaricom imeajiri watu wengi sana wa kabila la Raila, sasa Raila anataka wafuasi wake wafukuzwe kazi kwa sababu ya kampuni kutopata kipato cha kutosha baada ya kuhamia Airtel, na Je Airtel atawaajiri watakaofuzwa Safaricom ili wana NASA hao wasikose ajira?! Jamaa limeishiwa sera na sasa linaangamiza hata ndugu zake, hana huruma na ndugu zake. Nchi haipati hasara kwa sababu bado wateja wanajiunga na Airtel Kenya ambayo bado ipo Kenya ila shida ni watakaofukuzwa kazi Safaricom kama redundancy.
 
Odinga anahitaji kunyukwa bakora, afu huu ugomvi wa familia mbili nashangaa sana kuona wanahusishwa wananchi.
 
sasa Mimi binafsi ni mfuasi wa NASA nikimzimia binti wa JUBILEE hapo inakuwaje??

nahisi kuna watu wananyimwa haki zao nyingi sana ambazo haziko wazi.
 
Back
Top Bottom